chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,

We umetumwa?Na aliekutuma yupo Ivory coast now kutatua migogoro yao ya kuchakachua?chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
Unaishi kwa kutegemea mvua ndiyo ulime? huna njia zingine mbadala za kilimo wakati wa mvua hainyeshi?....Sokoine chuo kikuu cha kilimo wanaushauri gani?...chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
SO WHT????na mwaka huu mpaka kieleweke
Kieleweke nini9 hayo maandamano ya kila siku yanawasaidia nini? Zaidi ya fujo, kuumiza na mpaka watu wengine kutoa roho zao.
Chadema wameshakaa chini wakafikiri maafa ya maandamano?
Watu wengi hufata mkumbo wakidhani kuwa baada ya maandamano itashuka miujiza ya kuwabadilisha maisha yao yakawa bora kuliko yalivyo sasa. Na mengi ya haya maandamano hupangwa na kuanzishwa na watu wachache wenye uchu wa madaraka, na huwachochea watu ya ama kwa dini zao au itikadi zao zao za kisiasa.
Kwa nchi kama Tanzania na uongozi uliopo ambao unadhiri kila sababu za upinzani, ni nini kiwqafikishe Chadema hata kufanya maandamano?
Ni kipi walichodai Chadema kisiasa na kiuungwana wakanyimwa na Serikali iliyopo madarakani?
Ikumbukwe kuwa, tusifate mkumbo wa kuitisha maandamano pasipo na sababu za msingi. Sioni kama kutakuwa na ushindi wa ghafla kwa waanzisha maandamano.
Tanzania tumeishi kwa amani na utulivu tokea utawala wa wa Arabu mpaka ukaja utawala wa kijerumani (ukaanzisha fujo na vita vya hapa na pale) lakini toka nchi hii ilipowekwa kwenye uangalizi wa Umoja wa Mataifa! Baada ya kushindwa vita kuu ya pili ya Dunia waJerumani, na kupewa waIngereza waiongoze mpaka tutakapojiweza wenyewe hadi miaka hamsini baada ya kukabidhiwa nchi yetu na Umoja wa Mataifa, hatukuona fujo za watu kuuana wenyewe. Tuliona mauaji yaliyosaboshwa na siasa mbovu za Nyerere, watu walipokuwa wakifa hovyo kwa kuliwa na Simba, Chui na kadhalika walipohanishwa kwa nguvu kupelekwa maporini kuanzisha vijiji. Sasa kunani hawa Chadema kuanza na siasa za maandamano kutaka kutuharibia amani?
Ni nini mTanzania wa leo anachokosa ambacho kimesababishwa na uongozi uliopo sasa madarakani?