CHADEMA na maandamano yasiyofanikiwa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau

Napenda niwakumbushe chadema kua wamesha jaribu kuitisha maandamano yenye malengo ya kuchafua nch Zaid ya Mara tatu wakaishia kufeli vibaya na kupata aibu je unajua Kwann?

Kwanza chadema wao Kama wao wanajua kabisa kua wananch wa Tanzania hawataki kabisa kuwaunga katika Mambo Yao na Mara kibao wamejaribu kuwa shirikisha Ila wananch wamekua watu wenye kuwapa changamoto na kupelekea malengo Yao kufel

Na Sio kwamba Maandamano yote ya chadema yalio feli ni kwa sababu ya chama kuamua hapana ni wananch bado hawajawa tayar Katika maandamano hayo

Mfano pindi chadema wameitisha mikutamo na kuamasisha wananch wajitokeze kwa wingi siku Ile ya hukum maakaman na kuanzisha kauli mbiu ya No hate No fear kwamba wako tayar kwa lolote

Cha ajabu na chakushangaza chadema viongozi na wananchama walio udhuria hawakufika hata Mia Tena katka siku Yao kubwa ambayo ilikua inaamua hatma ya viongozi wao

Chadema wamekua watu wanao tangaza kukubalika na wananch na kusema kwa kukiamin kua watanzania wamemchoka Rais lakini kwa vitendo wananch wanavyo mfanyia Rais wao mbele za macho ya ma million ya watu vinatosha kabisa kuonyesha watanzania wapo upande gani
 
Muulize waitara kilichomkuta mwanza, alinusurika kipigo kutoka kwa wananchi Muulize ndu.guy aibu iliyompata mbele ya meko jimboni kwake baada ya kukataliwa hadharani ndyo utajua ccm inavyokubalika!
 
Ile ya Kongwa ni fake news. Waitara aliondoka wala hakutaka kupigwa. Ila amekuwa mwiba kwa Chadema.
 
Habari wadau

Napenda niwakumbushe chadema kua wamesha jaribu kuitisha maandamano yenye malengo ya kuchafua nch Zaid ya Mara tatu wakaishia kufeli vibaya na kupata aibu je unajua Kwann?

Kwanza chadema wao Kama wao wanajua kabisa kua wananch wa Tanzania hawataki kabisa kuwaunga katika Mambo Yao na Mara kibao wamejaribu kuwa shirikisha Ila wananch wamekua watu wenye kuwapa changamoto na kupelekea malengo Yao kufel

Na Sio kwamba Maandamano yote ya chadema yalio feli ni kwa sababu ya chama kuamua hapana ni wananch bado hawajawa tayar Katika maandamano hayo

Mfano pindi chadema wameitisha mikutamo na kuamasisha wananch wajitokeze kwa wingi siku Ile ya hukum maakaman na kuanzisha kauli mbiu ya No hate No fear kwamba wako tayar kwa lolote

Cha ajabu na chakushangaza chadema viongozi na wananchama walio udhuria hawakufika hata Mia Tena katka siku Yao kubwa ambayo ilikua inaamua hatma ya viongozi wao

Chadema wamekua watu wanao tangaza kukubalika na wananch na kusema kwa kukiamin kua watanzania wamemchoka Rais lakini kwa vitendo wananch wanavyo mfanyia Rais wao mbele za macho ya ma million ya watu vinatosha kabisa kuonyesha watanzania wapo upande gani

Nelson Mandela “A winner is a dreamer who never gives up”― Nelson Mandela
 
Back
Top Bottom