CHADEMA na Lowassa, Homa ya CCM

Katiba inaruhusu hili?


Mambo ya katiba kwasasa tumechelewa tuna vingi vya muhimu vya kufanya... Katiba inahitaji muda, weledi, hekima na maridhiano ya kitaifa. Tuwekeze kwenye uchaguzi kwasasa ili upite kwa amani halafu katiba itafuata, tuwe na mipangilio katika mambo
 

Neno Hata Mimi Lowasa cmkubali ata kidogo
 
Neno Hata Mimi Lowasa cmkubali ata kidogo

Ishu hapa ni kwamba kakivuruga chama chake mwanzo mwisho, na kajijengea ngome imara kiasi kwamba jaribio lolote la kutaka kumtosa litakuwa na gharama kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…