CHADEMA na hekaya za abunuasi

CHADEMA na hekaya za abunuasi

Lissu hajawahi na hatakuwa kuwa tishio kwa serikali ya JPM. Ila ni tishio kwa wenye chama chao kutoka Kaskazini. Lissu ni tishio kwa Mwenyekiti Chadema Taifa. Lissu ni tishio kubwa kwa yule mzee aliepewa hati miliki ya kugombea Urais 2015 na 2020. Ndiyo walitaka kutumia kivuli cha serikali ya Magufuli kumuua Lissu ili waseme serikali imemuua. Kwa hili mmekwama. Mngetaka wachunguzi wa nje basi mngeoomba pia wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe.
nimehisi kutetemeka na kukamatwa kwa mngangania uenyekiti kwa ukweli huu.
 
hii mada ni ukweli ndio maana imepoa.

nimefurahi kusikia lissu kapona maana kuna yule alikuwa anaona uenyekiti ataupoteza soon kwa kasi aliyonayo lisu ya kupendwa na watu ndio maana kimya kimetawala na dereva katoweka.
 
Back
Top Bottom