CHADEMA na hekaya za abunuasi

CHADEMA na hekaya za abunuasi

Tengero

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
75
Reaction score
54
TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA

Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani

Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.

John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini

Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini

CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.

[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA.
 
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliwa kama chama cha siasa.
 
TUKIO LA LISSU LILIPANGWA NA CHADEMA KWA AJILI YA KUJA NA AGENDA YA KUTISHIWA MAISHA

Joshua Nassari – Nafuatiliwa na watu wasiojulikana , maisha yangu yapo shakani

Godbless Lema – Gari Langu limefunguliwa nati za matairi yote manne wakati linatembea, Maisha yangu yapo shakani.

John Heche – Natishiwa maisha yangu na watu wasiojulikana, maisha yangu yapo hatarini

Ester Bulaya – Nafuatiliwa na watu waliovalia kininja, Maisha yangu yapo hatarini

CHADEMA ACHENI KUCHONGA KINYAGO ILI KUJITISHA WENYEWE.

[HASHTAG]#NCHI[/HASHTAG] IPO SALAMA – MAJALIWA KASSIM MAJALIWA (PM)
Munaacha kujibu Hoja, munakuja na misemo ya kale.
 
Ile footage ya cctv camera ambayo lema alisema ataiangalia kuona aliyehusika katika kufungua nati alishaipata??
 
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.
Lissu alidai kufuatiliwa tukasema ni mwongo, mpaka alipopigwa risasi. Hawa wengine anasema halafu sisi tunasema ni waongo! Ama tunataka mpaka wapigwe risasi? Nchi hii imechafuka, sio mahali salama pa kukaa tena. Mungu atusaidie.
 
Chadema sifa yenu kubwa ni uongo,unafiki na uzushi uliopitiliza pamoja na kutetea ufisadi na ukiukwaji wa sheria. Mmepoteza uhalali wa kuendekea kuambuliws kama chsms cha siasa.

Kwanza andika vizuri....

Pili wewe ni nani na una nini huko chini?
 
Uje uchunguzi wa nje kuthibisha
Lissu hajawahi na hatakuwa kuwa tishio kwa serikali ya JPM. Ila ni tishio kwa wenye chama chao kutoka Kaskazini. Lissu ni tishio kwa Mwenyekiti Chadema Taifa. Lissu ni tishio kubwa kwa yule mzee aliepewa hati miliki ya kugombea Urais 2015 na 2020. Ndiyo walitaka kutumia kivuli cha serikali ya Magufuli kumuua Lissu ili waseme serikali imemuua. Kwa hili mmekwama. Mngetaka wachunguzi wa nje basi mngeoomba pia wakati wa kifo cha marehemu Chacha Wangwe.
 
Back
Top Bottom