Chadema na harakati za ukombozi mpya wa kiuchumi

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Wanajf ni wa Salimu Kwa salaam ya Peoples..power.

Nimetafakari sana na ninatafakari sana juu ya ukombozi wa pili wa Taifa hili.
Nianze na Misuguano.

1.Chama Tawala kina hisi kuwa na jeshi la polisi,Usalama wa Taifa,Magereza,Mahakama na vyombo vingine vya kiusalama, Itakuwa ni ahueni kwao kuendelea kutawala taifa hili.

Hapo ndipo ccm inapojidanganya na kujichanganya katika siasa za sasa za kisasa, Siasa za Chadema kwasasa zimeweza kuwaingiza vijana wengi kwenye medani za kisiasa na kushika nyadhifa mbalimbali na kufanya Daraja la kati (middle class) kuanza kushiriki kwenye siasa kwa njia mbalimbali na hii ni kwa wote wanaume na wanawake, Kwa mfano kwa wiki mbili sasa kulikuwa na mjadala mkali kwenye mtandao wa kijamii Twitter dada mmoja wengi mnamfahamu Anaitwa Joketi aliandika hivi: Hii ni vita baridi kati ya ccm na cdm.....struggle for power....na ukiunganisha hali mbaya ya maisha basi haisaidi kutuliza hasira...#2015 mwisho wa kunukuu. Na hii ilitokana na mjadala mkali wa mauaji yanayofanywa na Jeshi la polisi.

Kwa hapa CDM Tumefanikiwa kuingiza watu ambao walidhanika hawawezi kufikiri juu ya nchi yao zaidi ya kujiangalia wao.

CCM na vyombo vyake wasome alama za nyakati kuhusu muda na mambo yanayotokea kungineko Duniani, Wananchi hawawezi kuvumilia hali mbaya ya maisha huku wakijua Raslimali walizonazo zinatumika ndivyo sivyo yaani watuhumiwa wa kubwa wa Rushwa wakiendelea kuwa na veo vi kubwa serikalini na sauti kubwa huku wakiishi kwa kodi za walalahoi, Hali hii Imeanza kugusa madaraja yote yaani wale ambao walikuwa na kipato kizuri na kimeanza kupungua.

CHADEMA Tumefanikiwa nini (Nionavyo mimi)

  1. Wananchi kuzifahamu haki zao za msingi na kuanza kuzidai bila ya hofu ya polisi wanaotumiwa.
  2. Wananchi kuanza kujadili siasa za nchi zao.
  3. Wananchi kuanza kupima hoja na siyo propaganda za siasa uchwara.
  4. Wananchi kuona fursa pekee ya uchumi wao upo mikononi mwa chadema na ndiyo tumaini la pekee kwasasa.

Kwanini yametokea hayo.

  1. Chadema kuweza kutanua uwanja wa kutoa hofu kwa kuanza wao kuwa mstari wa mbele kusema lolote lile ambalo halima maslahi kwa umma.
  2. Kusimama hadharani kuwataja mpaka wa kuu wa nchi kuhusika na ufisadi wa mali za umma, hapa wamewapa wananchi ujasiri wa hali ya juu.
  3. Kuwafundisha polisi wajibu wao wa kutii nguvu ya umma, kwa njia sahihi za kisheria.
  4. Kusimamisha wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja bungeni na kuikosoa serikali wazi wazi bila woga.

Mtazamo huwo wangu mdogo sana Chadema hatuwezi kusimamishwa tena kwa kutumia polisi ama usalama wowote ule,Wala hatuwezi kusimamisha harakati za mabadiliko M4C kwa maneno matupu, Tunataka watujibu kwa hoja za utatuzi wa kero za wananchi.

Tuwajibike kulitumikia Taifa letu,Tuache uoga usiyo na msingi, kamwe hawezi kushuka malaika kulitumikia Taifa hili zaidi ya Watanzania wenyewe kujitoa kwa kulipigania Taifa lao bila hofu.

2015 mabadiliko kwa Taifa hili ni lazima, CCM ijiandae kuwa tayari kukubaliana na hali halisi ya mabadiliko.

M4C we can
 
Ni ukweli usiopingika mkuu , Mungu kawapa upofu hawataona na kawapa ukiziwi hawata sikia
 
Kilewo hongera sana na rudia tena si kusifii kwasababu na kukubali na kusifia kwasababu ya uwezo wako wa kutafakari badala ya vijana wengi kwasasa wamejikita kwenye malumbano, Hongera tena, Mwanga hatutapoteza tumepata mtu makini, Viongozi wengine wa CDM toeni na nyie uchambuzi wenu angalau kidogo kama Kilewo tupate kujua uwezo wenu katika uchambuzi wa kimaandishi.
 
Wanajf ni wa Salimu Kwa salaam ya Peoples..power.

Nimetafakari sana na ninatafakari sana juu ya ukombozi wa pili wa Taifa hili.
Nianze na Misuguano.

1.Chama Tawala kina hisi kuwa na jeshi la polisi,Usalama wa Taifa,Magereza,Mahakama na vyombo vingine vya kiusalama, Itakuwa ni ahueni kwao kuendelea kutawala taifa hili.

Hapo ndipo ccm inapojidanganya na kujichanganya katika siasa za sasa za kisasa, Siasa za Chadema kwasasa zimeweza kuwaingiza vijana wengi kwenye medani za kisiasa na kushika nyadhifa mbalimbali na kufanya Daraja la kati (middle class) kuanza kushiriki kwenye siasa kwa njia mbalimbali na hii ni kwa wote wanaume na wanawake, Kwa mfano kwa wiki mbili sasa kulikuwa na mjadala mkali kwenye mtandao wa kijamii Twitter dada mmoja wengi mnamfahamu Anaitwa Joketi aliandika hivi: Hii ni vita baridi kati ya ccm na cdm.....struggle for power....na ukiunganisha hali mbaya ya maisha basi haisaidi kutuliza hasira...#2015 mwisho wa kunukuu. Na hii ilitokana na mjadala mkali wa mauaji yanayofanywa na Jeshi la polisi.

Kwa hapa CDM Tumefanikiwa kuingiza watu ambao walidhanika hawawezi kufikiri juu ya nchi yao zaidi ya kujiangalia wao.

CCM na vyombo vyake wasome alama za nyakati kuhusu muda na mambo yanayotokea kungineko Duniani, Wananchi hawawezi kuvumilia hali mbaya ya maisha huku wakijua Raslimali walizonazo zinatumika ndivyo sivyo yaani watuhumiwa wa kubwa wa Rushwa wakiendelea kuwa na veo vi kubwa serikalini na sauti kubwa huku wakiishi kwa kodi za walalahoi, Hali hii Imeanza kugusa madaraja yote yaani wale ambao walikuwa na kipato kizuri na kimeanza kupungua.

CHADEMA Tumefanikiwa nini (Nionavyo mimi)

  1. Wananchi kuzifahamu haki zao za msingi na kuanza kuzidai bila ya hofu ya polisi wanaotumiwa.
  2. Wananchi kuanza kujadili siasa za nchi zao.
  3. Wananchi kuanza kupima hoja na siyo propaganda za siasa uchwara.
  4. Wananchi kuona fursa pekee ya uchumi wao upo mikononi mwa chadema na ndiyo tumaini la pekee kwasasa.

Kwanini yametokea hayo.

  1. Chadema kuweza kutanua uwanja wa kutoa hofu kwa kuanza wao kuwa mstari wa mbele kusema lolote lile ambalo halima maslahi kwa umma.
  2. Kusimama hadharani kuwataja mpaka wa kuu wa nchi kuhusika na ufisadi wa mali za umma, hapa wamewapa wananchi ujasiri wa hali ya juu.
  3. Kuwafundisha polisi wajibu wao wa kutii nguvu ya umma, kwa njia sahihi za kisheria.
  4. Kusimamisha wabunge wenye uwezo wa kujenga hoja bungeni na kuikosoa serikali wazi wazi bila woga.

Mtazamo huwo wangu mdogo sana Chadema hatuwezi kusimamishwa tena kwa kutumia polisi ama usalama wowote ule,Wala hatuwezi kusimamisha harakati za mabadiliko M4C kwa maneno matupu, Tunataka watujibu kwa hoja za utatuzi wa kero za wananchi.

Tuwajibike kulitumikia Taifa letu,Tuache uoga usiyo na msingi, kamwe hawezi kushuka malaika kulitumikia Taifa hili zaidi ya Watanzania wenyewe kujitoa kwa kulipigania Taifa lao bila hofu.

2015 mabadiliko kwa Taifa hili ni lazima, CCM ijiandae kuwa tayari kukubaliana na hali halisi ya mabadiliko.

M4C we can

Pamoja sana kamanda kilewo, hili ni zao jipya la chama kwa siku zijazo, ni mpole sana, anapenda kusikiliza, anajua kujipanga awapo jukwaani,nimependa alichoongea huyo dada wa kisasa joketi alichoongea ni sahihi 2015 kutachimbika.
 
Back
Top Bottom