CHADEMA na harakati za leo


Mkuu ilo neno kabisa,kama ni muelewa ujumbe umemfikia,mj***a uwa ana elimishwa,asante kwa kumpa somo!
 

siasa sio chuki wewe,ile ilikua ni kufikisha ujumbe kua hawakubaliani na jambo fulani,ni wangapi wanasusia mambo fulani katika dunia hii kuanzia wabunge mpaka maraisi wenyewe kwy vikao vya U.n na baadae wanakutana na hao waliowasusia kwa ajili ya muafaka?kwenda ikulu kwa C.D.M ilikua ni katika kujaribu kupata muafaka kwa mustakhabali wa maendeleo ya taifa letu,ila kwa wenye akili mgando wataleta ushabiki wa "kividuku",kama kunywa chai na juice,alikunywa Tonny Blair na team yake walipokwenda Tripoli kwa Ghadaff ktk kuweka mambo sawa,ndio sembuse sisi watu wa taifa moja wenye nia na nchi!jaribu kupasha moto akili yako mkuu
 

Sheria gani ya nchi hii CDM waliihalifu?
 
Mleta mada hii hakika hufuatilii au hauko makini na siasa za tz CDM bado hujaielewa wewe na unajitahidi kutumia nguvu nyingi kuleta thread dhaifu kama hii,lakini acha nikusamehe kwa leo maana jana ulikuwa na wakati mgumu sana juu ya paa la nyumba yako na mbuzi wako wawili nani alikudanganya ununue kiwanja bondeni?????????????????.
 
Hebu nitajie listi ya hao wasomi!!
Sugu???
Lema??
Hivi Rejeo, hawa na yule aliyesema hajui kwa nini Tanzania ni masikini ilihali alitembea nchi nzima kuomba cheo nani ni msomi? kwako wewe usomi ni nini?
 
Kapimwe akili kwanza wewe this guys are strategic and all the messages sent.
Sasa hiyo strategy iko wapi wakati humtambui rais? wacha kutulisha matango pori kimsingi jibu hoja iliyopo usikwepe mi naona haipo strategy hapo zaidi ya udhaifu.
 
Dah!Mkuu unatumia kinywaji gani?You made my day.Nadhani Rejao hatakua na cha kusema ktk thread hii.
 
Cha kushangaza posho hawasusi,ila kwa vile wafuasi wao ni vipofu juu yao wanadanganyika.
Sasa Kiziza muasisi wa kupinga posho za wabunge na taasisi mbalimbali za umma ni nani kama sio CDM (na sasa magamba wamedandia)? Kama unataka kujua posho pokelewa au la hilo sio suluhishho ila kubadili mfumo na watanzania wamelielewa hilo hata uingize elimu nyingine hapa hawatakuelewa, juzi kulikuwa na maandamano hapa Arusha ya kupinga ongezeko la posho za wabunge na walivaa magunia na viatu vilikuwa maboksi hiyo yote inadihirisha somo limeeleweka na bado linaendelea kutolewa..
 
Cha kushangaza posho hawasusi,ila kwa vile wafuasi wao ni vipofu juu yao wanadanganyika.
Kamuulize mama yenu makinda kwanini analazimisha kuweka posho kwenye akaunti za makamanda wakati wamezikataa?
 
Sasa hiyo strategy iko wapi wakati humtambui rais? wacha kutulisha matango pori kimsingi jibu hoja iliyopo usikwepe mi naona haipo strategy hapo zaidi ya udhaifu.

jaribu kuwa mwepesi kuelewa hata kama uwezo wako wa uelewa ni mdogo,cdm hawakusema hawamtambui rais ila walichopinga ni mchakato mzima wa kumpata rais ndo uliopingwa,umeelewa sasa ? Siyo kukurupuka kucomment kitu usichokielewa,tulia ,soma,elewa,tafakari ndo utoe maoni yako.
 
unamzungumzia raisi aliyechaguliwa na kura m5 za ubwabwa .pilau,gongo,kanga.nec.....kat ya m20?
 
Ningeshauri kabla ya kupost jambo ni vema kutumia akili na sio kitu kingine, kazi kweli kweli!
 
Ndugu upo Bonde lipi, Msasani, kwa mtogole, kigogo au kwa Tumbo? Inaonekana akili imechanganyika na maji ya kinyesi.

Haswaa! Tena kayanywa mengi kweli! Alichelewa kujiokoa akidhani magamba watawahi kumwokoa kama ambavyo humpelekea lorry apande aende kuhudhuria mikutano yao! Hajui kuwa hawakumbuki kuwa yupo.
 
Hivi Rejeo, hawa na yule aliyesema hajui kwa nini Tanzania ni masikini ilihali alitembea nchi nzima kuomba cheo nani ni msomi? kwako wewe usomi ni nini?

Yeye kwake usomi ni kujiita dokta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…