charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Nawasubiri mkuu, hiki kichwa halafu ni charitableCharity boy,
Jiandae kupangua HOJA motomoto, wenyewe wanakuja punde...
Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika. Warabu ni watu makini sana, wao wamefanya maandamano kudai matango tu baada ya miaka mingi ya utawala na hali isiyombaya ya uchumi.
Chadema wanachofanya sasa ni kuiga falsafa ambayo haiwezi kufanya kazi bongo. Tanzania ni nchi iliyojiwekea utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila miaka 5.
Nawashauri CDM wasubiri 2015 vinginevyo watapoteza MVUTO.
Nawasubiri mkuu, hiki kichwa halafu ni charitable
Hatuhutaji kufuata utaratibu wa Waarabu kwa Tanzania.
Nyerere huko aliko, atafanya kazi yake na kuondoa uozo hapa Tanzania.
Akiita hawa Wanafunzi wake hata wawili wamfuate, mambo yatabadilika.
Pilipili usiyokula yakuwashia nini?Kwanini wewe usisubiri 2015 kufanya analysis yako ya kilevi badala ya kuwataka Chadema wasubiri hadi mwaka huo?Kufanya maandamano katika vitongozi mbalimbali vya mji wa Mwanza na kisha leo kuhamia Musoma ili kupinga kuongezeka kwa gharama za maisha, malipo ya dowans nk ni kufuata philosophy isiyofahamika. Warabu ni watu makini sana, wao wamefanya maandamano kudai matango tu baada ya miaka mingi ya utawala na hali isiyombaya ya uchumi.
Chadema wanachofanya sasa ni kuiga falsafa ambayo haiwezi kufanya kazi bongo. Tanzania ni nchi iliyojiwekea utaratibu wa kukabidhiana madaraka kila miaka 5.
Nawashauri CDM wasubiri 2015 vinginevyo watapoteza MVUTO.
Bado nashindwa kuelewa naomba mnieleweshe waungwana
Endapo serikali ya JK akaanguka ina maana Cdm ndio watakaotwaa madaraka?
Pilipili isyokula yakuwashia nini?Kwanini wewe usisubiri 2015 kufanya analysis yako ya kilevi badala ya kuwataka Chadema wasubiri hadi mwaka huo?
Jibu la wazi ni kwamba mnakereka sana kuona Chadema imeendelea kuwa imara licha ya hujuma zote mnazofanya dhidi yake.Mnaumia zaidi kuona mbinu wanazotumia Chadema zitakifanya chama hicho kiwe,technically,mshindi hapo 2015 kabla hata ya uchaguzi mkuu.
Halafu mzembe wewe wa kufikiri hujihangaishi kufahamu kuwa kitakachofanyika 2015 ni hitimisho la jitihada za chama cha siasa kuomba kupewa ridhaa ya kuongoza.CCM itahukumiwa kwa matendo yake,and so will be Chadema na wengineo.Mfano mwepesi kwa ngumbaru wa tafakari ni kama huu:kwa mkulima kupata mavuno shurti apande mbegu shambani kitambo kabla hajavuna.Wanachofanya Chadema ni kilekile anachofanya mkulima shambani:kupanda mbegu ya ushindi ili hatimaye kuvuna zao liitwalo ushindi.Lakini pia,Chadema kama chama makini hakiwezi kulala huku Watanzania wakigeuzwa punching bag ya mafisadi.Hivi kwa mwendeno wa bunge la Makinda,mahakama iliyofurika wateule wa Kikwete serikali (executive branch of the state) iliyojaa mafisadi,na a virtually dormant civil society, kimbilio la watanzania ni wapi kama sio kwa opposition parties?
Endelea kusubiri 2015,achana na sie "tunaopotoza muda kwa maandamano".Why should you care anyway?

Sababu naona chama pekee cha upinzani ambacho kimeshikia bango hili suala ni CDM ndio nilikuwa nataka kujua ni katiba gani itawapatia madaraka kama JK akianguka?Nani akueleweshe?Kama mada huielewi si bora uhamie kwenye "nyepesi nyepesi"?
Werevu hawawapati hata siku moja. CDM bado mnahitaji miaka mingi ya KUNYONYA kabla ya kupewa nchi. Hii nchi tuna uchungu nayo sana hatuwezi kuwapa kirahisi.
Je ?katiba ya Jamuhuri inatamka hayo maneno ya kwamba itaundwa na Serikali ya umoja wa kitaifa?Ndugu yangu Washawasha, ningependa RA na serikali yake waanguke tangu miaka kadhaa iliyopita lakini sijawaza nini kitatokea baada ya hapo. Hii nchi kwa sasa inamilikiwa na RA na watu wanadhani kuvumilia huu ushoga wa wanasiasa ndo kulinda amani. Hofu yangu ni kwamba si rahisi kumwondoa madarakani mfanyabiashara kama RA kwa kuwa yeye hakai Ikulu wala katika majengo yoyote ya Serikali. Maandamano ya CDM yakionesha kuimarika zaidi, yeye anasafiri na kuwaagiza wafanyakazi wake (ambao sisi tulidhani ndo tumewachagua kutuongoza) wayamalize haraka vinginevyo hatawapa fedha ya kampeni katika uchaguzi ujao au atawafukuza Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ya Chama Chake. Huwezi kuamini nguvu itakayotumika hapo.Kwa kujibu swali lako si CDM watakoingia moja kwa moja madarakani, isipokuwa (RA akiwaamuru kuweka silaha chini) itaundwa serikali ya Umoja wa kitaifa kwa muda ili kuelekea Uchaguzi huru na wa haki. Wakati wa kampeni, kwa kuwa wanasiasa wa nchi zetu wanapenda sana madaraka, baadhi yao watauza utu wao na wa wale waliowaunga mkono kwa RA au mfanyabiashara mwingine Fisadi ili waingie madarakani na mwisho wa siku tutarudi palepale japokuwa mtindo unaweza kuwa tofauti na huu kwa kiasi fulani.