CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149

Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???

matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".

Hapo kwenye red tu ndio pana kaukweli fulani
 
Jibu unalo mwenyewe,chenye wabunge wengi ndo mashuhuri maana wananchi wamekikubali
 
Gimme break! uwe tayari kupokea majibu kama ulivyokuwa tayari kuuleta huu uzi hapa baada ya kupata wazo,
 
Mkuu huu sio wakati wa kushindanisha vyama kwa maneno wakati muafaka ni 2015. wakati huo tutalinganisha CCM na TLP au TPP maendeleo

manake hawataki kuungana kila mmoja anajidai mkubwa na anajiweza kuliko mwenzie ndio mana nikaitisha kura ya maoni hii isiyo rasi ili tujue then tuwafahamishe,wnatakiwa kujipanga kuanzia sasa kwa ajili ya 2015
 
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???

matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".

Nadhani picha hiyo inatoa majibu ya swali lako.
 
Hii ndio nguvu ya umma ya cuf..

attachment.php
 
manake hawataki kuungana kila mmoja anajidai mkubwa na anajiweza kuliko mwenzie ndio mana nikaitisha kura ya maoni hii isiyo rasi ili tujue then tuwafahamishe,wnatakiwa kujipanga kuanzia sasa kwa ajili ya 2015
Yote hayo si makapi ya CCM? teh teh teh
 
Kumekuwepo na mtazamo tofauti juu ya kipi chama mashuhuri na pendwa zaidi kwa watanzania miongoni mwa vyama vikuu vya upinzani Tanzania,hapa navizungumzia cdm na cuf,wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaazia namanga na kuishia njia panda ya Himo na wengine wanasema cuf ni mashuhuri na inapendwa zaidi kwenye ukanda wa pwani na kusini mwa Tanzania,lakini wapo wanaodai cdm ina nguvu Tanzania nzima kasoro zanzibar huku wengine wakisema hapana cuf ina mtandao mpana zaidi na safu ya uongozi iliyoshiba wakati huku wakidai chadema ina mtandao mdogo na safu nyembamba ya uongozi,wewe mwana jf CHADEMA na CUF kipi mashuhuri kwa watanzania???

matusi na hoja nyembamba havina nafasi,tumuenzi mwenzetu Regia mtema(R.I.P. SIS)-Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane".

sijaona jitihada uliyoitumia ili usikejeliwe.
 
kwanini chadema hampendi kuwa tested?mnapenda kusifiwa tu,mtaitawala hii nchi kidikteta nyie watu tukiwapa ridhaa
 
Chama maarufu ni kile ambacho kwenye mikutano yao huhimiza dini fulani tu kujiunga nao na kuwaswaga nje dini zingine au wasio na dini almaarufu "makafir".

Chama maarufu ni kile ambacho hukodi "mchungaji" feki akapanda jukwaani kudharau imani zingine huku wafuasi wa chama hicho wakishangilia na kumpongeza huyo "mchungaji".

Chama maarufu ni kile ambacho kinajiona kama cha upinzani lakini wakati huo huo kikinunuliwa "air time" kwenye TV ya taifa na chama tawala wakati wapinzani wengine hawaruhusiwi kabisa habari zao kutangazwa kwenye hiyo TV.

Hicho ndicho chama maarufu.
 
Kumbe Ilemela,Nyamagana,Ukerewe,Singida mash,Shinyanga,Mbeya mjini,Mbozi,Iringa mjini,kigoma,Ubungo,kawe nk.haya maeneo yapo kati ya Namanga na njia panda Himo?bora umenijuza mkuu maana Jiografia imenipitia kushoto.
ukitulia na kusoma vizuri kwa kituo utagundua kwama umadandia mada bila kuielewa,yani umekurupuka kiufupi,hakuna mahali niliposema kwamba ni mimi ndio ninaesema bali nilichosema ni wapo wanaosema chadema nguvu zake zinaanzia namanga na kuishia njia panda ya Himo
 
Chama maarufu ni kile ambacho kwenye mikutano yao huhimiza dini fulani tu kujiunga nao na kuwaswaga nje dini zingine au wasio na dini almaarufu "makafir".

Chama maarufu ni kile ambacho hukodi "mchungaji" feki akapanda jukwaani kudharau imani zingine huku wafuasi wa chama hicho wakishangilia na kumpongeza huyo "mchungaji".

Chama maarufu ni kile ambacho kinajiona kama cha upinzani lakini wakati huo huo kikinunuliwa "air time" kwenye TV ya taifa na chama tawala wakati wapinzani wengine hawaruhusiwi kabisa habari zao kutangazwa kwenye hiyo TV.

Hicho ndicho chama maarufu.

mchungaji mwenyewe aliyekodiwa ni huyu???

Back
Top Bottom