Mgogoro wa Chama cha wanainchi CUF hatuwezi kusema hauna adhari za moja kwa moja kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu na demokrasia kwa umajui wake.
Ni ukweli ulio dhahiri kwamba CCM na CHADEMA wanaupalilia mgogoro huu uendelee kuwepo ama kusiwe na maelewano ndani ya CUF kila mmoja kwa wakati wake na maslahi yake.
Wakati CHADEMA wakifurahia mgogoro huu kwa kuzidi kujiimarisha kwa wanainchi kwa kupata pa kusemea kwa majority na kuwaaminisha kuwa CUF ni Chama kisichoaminika na ambacho hakina dhamira ya dhati kwa wanainchi.
Kwa upande wa pili Chama Cha Mapinduzi wakifurahia kutoshiriki kwa Mwalimu seif kwenye siasa za Zanzibar na kuporomoka kwa umaarufu wa CUF pwani ya TANZANIA bara.
Ukiangalia trend ya kampeni za uchaguzi wa marudio siha na kinondoni unaweza ukapata ya kile ambacho mimi najiuliza kwamba CCM na CHADEMA wamefanikiwa kuizika CUF? Na ni imani yangu CHADEMA na CCM wanafurahi na wangetamani hata 2020 hali iwe hivi hivi.
Cha ajabu hata vyombo vya habari vimeingia kwenye mtego huu wa hivi vyama viwili yaani ccm na chadema kwakutorusha na kutowapa coverage hata dakika tano kwenye vyombo vyao. CUF imeshazikwa?