Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,470
- 23,555
Na sasa ndiyo anafanya watu wafupi wadharaulike kabisaAmekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba
Mwenye picha ya nkewe atuwekee hapa kama anafaa tukajipigieNaambiwa hata mke wake hana imani naye.
Vijana wa hovyo washaanza vurugu.Mwenye picha ya nkewe atuwekee hapa kama anafaa tukajipigie
Msigwa ni Mchungaji ametenda dhambi anayoijuaAmekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.
Bahati nzuri wananchi wamempuuza hata hawana habari nayeAmekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.
Timing haikuwa nzuri.....kwa sasa hakuna mwenye muda na ccmBahati nzuri wananchi wamempuuza hata hawana habari naye
Mda c mrefu utasikia anakula na nguruwe kama mwanampotevuAmekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.
Msigwa alishinda uchaguzi dhidi ya Sugu,sema hakuwa chaguo la mfalme Mbowe ambaye ndie anapanga safu yake,hivyo hakuondoka chadema kwa kupenda bali kwa kuudhiwaAmekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM.
Lakini hii ya kushindwa uchaguzi kisha anahamia CCM imeonesha anapenda vyeo. Wakati anagombea hakuona hayo anayoyasema sasa mtaani? Amepoteza mvuto hata CCM wenye akili wameshamwona kuwa hana mvuto wamepata hasara tu.
Imesikitisha sana. Na inaudhi akina Mbowe hawamjibu wamenyamaza tu anabishana na madogo tu ambao hawana impact. CCM wanasema hana issue, amejawa tu na hasira. Na ameanza kulalamika kuwa pesa alizopewa ni ndogo. Wakati CCM wanaona wamempa nyingi kuliko anavyostahili.
Baada ya mwezi atakuwa anashinda corridor za Lumumba na Lucas Mwamshamba wanatafuta machawa wa kuwa sponsor. Wanasema kwa sasa Msigwa hata kwa rais hana thamani. Labda akawe chawa wa Kafulila au Nape.
Watu wameelimika hawezi kubadilishwa mawazo na Msigwa kwa sababu ya njaa zakeTiming haikuwa nzuri.....kwa sasa hakuna mwenye muda na ccm
Mkewe umekuja? Haha ha....Msigwa alishinda uchaguzi dhidi ya Sugu,sema hakuwa chaguo la mfalme Mbowe ambaye ndie anapanga safu yake,hivyo hakuondoka chadema kwa kupenda bali kwa kuudhiwa
Na huyu tunamtaka kweli turuke naye kisha tukamhadithie Msigwa miguno yake.Mkewe umekuja? Haha ha....
Kwani wewe ndiye mke wake? Maana CHIEF PRIEST ameulizia mke wake nashangaa umekuja wewe.Msigwa alishinda uchaguzi dhidi ya Sugu,sema hakuwa chaguo la mfalme Mbowe ambaye ndie anapanga safu yake,hivyo hakuondoka chadema kwa kupenda bali kwa kuudhiwa