Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,024
how old are you?Halafu wataleta Kura za kwenye mabegi kutoa ushahidi kuwa wameibiwa Kura kwenye huo uchaguzi mdogo huku wakiwa wamejitoa haito shangaza kabisa.
Wanajua wakishiriki kwenye huo uchaguzi mdogo kisha wakashindwa itadhihirisha kuwa watanzania wamewakataa hata kwenye Kule wanakodai kuporwa ushindi.
Maigizo bado yanaendelea hapo.
Ni kweli lakini haisaidii maana hakuna atakayesikiliza au kutoa msaada, kuliko kama wangesusia tangu mwanzo. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa. Nani aliyesikiliza?kushiriki uchaguzi huu ilikuwa sahihi kume i expose sana tume ya uchaguzi kimataifa yani udhaifu wake uko wazi wangesusa nani angeona maajabu yaliyotokea?
Baadae muanze kulialia Tena eti madiwani wa viti maalum kumbe ngoma ya wakubwa hamuiwezi. Sasa kakojoeni mlale.Wamefanya vizuri, na zile kata nyingine zilizobaki nako wakapite bila kupingwa.
Yale maigizo yao ya kitoto hakuna mtu anataka kuyaona tena.
Baada ya kichapo Hadi rais wenu kakimbilia kwa beberu lake Amsterdam ndo mnasema msimamo thabiti.Msimamo thabiti kabsa
Wa tlp na UDP waliwaachia chadema na ACT wazalendo, na ACT na CDM wamewaachia CCM.Hakukua na wagombea wa TLP na UDP?
sasa hapo umeandika nini?Halafu wataleta Kura za kwenye mabegi kutoa ushahidi kuwa wameibiwa Kura kwenye huo uchaguzi mdogo huku wakiwa wamejitoa haito shangaza kabisa.
Wanajua wakishiriki kwenye huo uchaguzi mdogo kisha wakashindwa itadhihirisha kuwa watanzania wamewakataa hata kwenye Kule wanakodai kuporwa ushindi.
Maigizo bado yanaendelea hapo.
Wewe ulisema kabla hata ya uchaguzi kuwa hupigi Kura, heshimu maamuzi yetu sisi tulio amua kupiga Kura, hongera yako wewe mtu mweupe ulie kataa kushiriki ujinga wa mtu mweusi Ila tu bahati mbaya kwamba ujanja wako mtu mweupe wa kuto kupiga Kura umeshindwa kumpa ushindi mgombea wako kisha unapiga kelele ya kuibiwa.Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Utu uzima bila akili timamu hauna faida na huwezi kunilazimisha niunge mkono unachotaka wewe tu mkuu, hayo ni maoni yangu na niko huru kuyatoa bila kujali nina umri gani.how old are you?
Kwani wewe umeandika nini mkuu.sasa hapo umeandika nini?
Halafu ukiitwa kichwa maji unakasirika....
punguza jazba mataga,Utu uzima bila akili timamu hauna faida na huwezi kunilazimisha niunge mkono unachotaka wewe tu mkuu, hayo ni maoni yangu na niko huru kuyatoa bila kujali nina umri gani.
Wanakumbuka shuka asubuhi. Bila time huru ya uchaguzi, bila Sheria mwafaka za uchaguzi (zilizopo zimetungwa mahususi kuvuruga uchaguzi, eg tume kutoshitakiwa, matokeo kutohojiwa mahakamani, watumishi wa serikali kuwa wasimamizi wa uchaguzi) upinzani kushiriki uchaguzi ni uhaini kwa wapenda democracy.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu...
Wewe ulisema kabla hata ya uchaguzi kuwa hupigi Kura, heshimu maamuzi yetu sisi tulio amua kupiga Kura, hongera yako wewe mtu mweupe ulie kataa kushiriki ujinga wa mtu mweusi Ila tu bahati mbaya kwamba ujanja wako mtu mweupe wa kuto kupiga Kura umeshindwa kumpa ushindi mgombea wako kisha unapiga kelele ya kuibiwa.
Waendelee kupita bila kupigwa hawa.CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu...
Ww jamaa ebu jisikilize unapoongea.Ni kweli lakini haisaidii maana hakuna atakayesikiliza au kutoa msaada, kuliko kama wangesusia tangu mwanzo. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa. Nani aliyesikiliza?
Lengo limeshatimia 100% yanini kusumbuana wakati malengo ushatiza.Wanakumbuka shuka asubuhi. Bila time huru ya uchaguzi, bila Sheria mwafaka za uchaguzi (zilizopo zimetungwa mahususi kuvuruga uchaguzi, eg tume kutoshitakiwa, matokeo kutohojiwa mahakamani, watumishi wa serikali kuwa wasimamizi wa uchaguzi) upinzani kushiriki uchaguzi ni uhaini kwa wapenda democracy.