CHADEMA na ACT-Wazalendo nani kawalengesha?

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Hivi kuna mantiki kususia uchaguzi wa local government lakini kushiriki bungeni? Bungeni mnajadili maendeleo ya wapi kama sio ya mitaa na vitongoji?

Japo kujitoa ni ujinga (kwa mujibu wa Aikaeli Mbowe). Mlipoamua kususa uchaguzi mngesusa na bunge ndio walau ingekuwa na mashiko. Nyie mnaagiza wa chini yenu kususa na kutoa ushirikiano kwa local government lakini nyie wa juu mnatoa ushirikiano kwa Serikali Kuu!

Tukisema mmejali posho za bunge tutakuwa tumekosea? Mnavyojadili bungeni vitaenda kutekelezwa wapi? Kenya? Mbinguni? Ubeljiji? Sio vitaenda kutekelezwa mitaani na vitongojini? Kwa hiyo mmeagiza wa chini yenu wasitekekeze hata mliyiafiki bungeni?

Hivi wanachama wenu watapata wapi leseni za biashara? Watapataje mikopo? Watakataa matibabu na elimu?
Lakini kubwa zaidi ni je mnayemsusia anaumia au ananufaika?
Uamuzi huu mtaujutia milele.

Mwaka huu kulikuwa na uchaguzi wa local government na ubunge (deputies) hapa Togo. Uchaguzi wa nafasi ya raisi ni 2020. Ni Kura ya raisi tu.

Muungano wa vyama (ukawa ya Togo) ukiongozwa na chama kikuu cha upinzani kinaitwa -ANC (wameiga ANC ya Madiba) vilichukua uamuzi kama wenu. Vyama "vidogo" walivyovidharau vikashiriki. Sasa ukawa ya Togo haina hata mjumbe wala mbunge wala diwani. Zero! Wakati wakisusa walijitapa mno! Tumewaachia! NI uchafuzi sio uchaguzi! Hatuwezi kushiriki dhuluma! Tambo kibao.

Vile vyama vidogo ndivyo sasa vina theluthi ya wabunge.
Sasa majuzi UKAWA imeandika barua France na EU kuomba eti uchaguzi urudiwe! Wamejibiwa kuwa uamuzi wa kurudia au kutorudiwa ni wa Serikali na raia wa Togo. Waombe kukutana na Serikali!

Sasa wameandika barua kuiomba Serikali iitishe kikao! Serikali imejifanya haina masikio😆😄😀
Siku zinaenda! Uchaguzi wa raisi unakuja mwakani. Sasa UKAWA hii imeanza kugombana! Baadhi wameandika barua ya kuomba radhi. Maana kwa mujibu wa hizi katiba za makoloni ya mfaransa ili ushiriki uchaguzi wa raisi lazima uwe umeshiriki uchaguzi wa "Deputies" aka WABUNGE

MBOMBO NGAFU! MCHAGA KANYIMWA HELA
Yumkini waomba radhi watasamehewa ila uchaguzi wa raisi katiba hairuhusu.
Ala Ala kina CHADEMA na ACT. Kabla ya kuchukua maamuzi sampuli hii muwe mnatafiti nchi nyingine ilikuwaje?
Sio leo mtu anadai ni ujinga na makosa kususa kesho anatangaza kususa.

Hiki kipengele cha sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu mnaonaje tukikiiga? Yaani ukisusa uchaguzi wa Local Government unakosa sifa ya kushiriki uchaguzi wa Serikali Kuu?
Ingefaa?
 
Presha ya nini na makala ndeeefuu ya kuhalalisha upumbavu wa serikali hovyo kabisa za mavi za Kiafrika?

Upo hapa kutetea miserikali ya kingedere za Kiafrika zinapofanya mambo ya chooni!?

Mnaotetea udhalimu sijui mmetokea wapi aisee!

Kama nyie ni miungu-monkeys endeleeni na uchaguzi wenu mkiwa wenyewe,yanini mnawafatafata opposition?

Fanyeni yenu,fungeni matako!
 
CCM Mnaangaika simmeshashida kwa kishindo ,wamejitoa si muaache kwani shida iko wapi?.CCM mbana hamjiamini kwa huo ushindi huku mmefanya mambo makubwa mnayojivunia .Mbowe na Zitto waacheni hivyo hivyo kwani kuna shida si mlikuwa mnataka hivyo au
 
Kwanini kutulazimisha uchafuzi wenu tushiriki? Hatutaki wananchi wapigwe Risasi kama CCM mlivyo muua Akwilina, Azory, Ben Saanane, Mawazo. Tumewaacha muuane wenyewe CCM. Tunaangalia Plan B. Mtatoka madarakani kwa mkono wa CHUMAA kwa kuwa hamtaki demokrasia.
 
!
!
Inaonekana Mlijipanga Mno Kuiba Kura. Sasa Mmeachiwa Mshinde Mnatamani Mpate Nafasi Ya Kutumia Mbinu Zenu. Shame. Nyie Shindeni Tu Jamani.

Mlitegemea Wapibzani Wangeleta Fujo Muwapekekee Polisi Hawajafanya Hivyo Pia.
 
Mmeachiwa mshiriki wenyewe., Kwani mkishiriki wenyewe mnapungukiwa nini?
 
Presha ya nini na makala ndeeefuu ya kuhalalisha upumbavu wa serikali hovyo kabisa za mavi za Kiafrika?

Upo hapa kutetea miserikali ya kingedere za Kiafrika zinapofanya mambo ya chooni!?

Mnaotetea udhalimu sijui mmetokea wapi aisee!

Kama nyie ni miungu-monkeys endeleeni na uchaguzi wenu mkiwa wenyewe,yanini mnawafatafata opposition?

Fanyeni yenu,fungeni matako!
Umetukana wakati unalalamika hakuna uhuru. Sidhani kama kuna mwanasiasa duniani atakupa nafasi kwa sababu unajua kumtukana!
 
Uchaguzi wa wabunge ni 2020 mbona bado? Subiri wakati wa uchaguzi uje na hii mada. Hata hao watendaji walimaliza kipindi chao, waache wabunge nao wamalize kipindi chao ndiyo uone watasusa kushiriki au la.
 
Umetukana wakati unalalamika hakuna uhuru. Sidhani kama kuna mwanasiasa duniani atakupa nafasi kwa sababu unajua kumtukana!

Nimetukana ndio!

Umeona wivu?

Na wewe tukana!

Hatupo Tanzania kusubiri eti “mwanasiasa” atupe nafasi!

Kama Watanzania tuko guaranteed nafasi na law of the land sio some stupid discretion ya “mwanasiasa” anaekunya chooni kama mimi!
 
Hivi kuna mantiki kususia uchaguzi wa local government lakini kushiriki bungeni? Bungeni mnajadili maendeleo ya wapi kama sio ya mitaa na vitongoji?

Japo kujitoa ni ujinga (kwa mujibu wa Aikaeli Mbowe). Mlipoamua kususa uchaguzi mngesusa na bunge ndio walau ingekuwa na mashiko. Nyie mnaagiza wa chini yenu kususa na kutoa ushirikiano kwa local government lakini nyie wa juu mnatoa ushirikiano kwa serikali kuu!

Tukisema mmejali posho za bunge tutakuwa tumekosea? Mnavyojadili bungeni vitaenda kutekelezwa wapi? Kenya? Mbinguni? Ubeljiji? Sio vitaenda kutekelezwa mitaani na vitongojini? Kwa hiyo mmeagiza wa chini yenu wasitekekeze hata mliyiafiki bungeni?

Hivi wanachama wenu watapata wapi leseni za biashara? Watapataje mikopo? Watakataa matibabu na elimu?
Lakini kubwa zaidi ni je mnayemsusia anaumia au ananufaika?
Uamuzi huu mtaujutia milele.

Mwaka huu kulikuwa na uchaguzi wa local government na ubunge (deputies) hapa Togo. Uchaguzi wa nafasi ya raisi ni 2020. Ni Kura ya raisi tu.

Muungano wa vyama (ukawa ya Togo) ukiongozwa na chama kikuu cha upinzani kinaitwa -ANC (wameiga ANC ya Madiba) vilichukua uamuzi kama wenu. Vyama "vidogo" walivyovidharau vikashiriki. Sasa ukawa ya Togo haina hata mjumbe wala mbunge wala diwani. Zero! Wakati wakisusa walijitapa mno! Tumewaachia! NI uchafuzi sio uchaguzi! Hatuwezi kushiriki dhuluma! Tambo kibao.

Vile vyama vidogo ndivyo sasa vina theluthi ya wabunge.
Sasa majuzi UKAWA imeandika barua France na EU kuomba eti uchaguzi urudiwe! Wamejibiwa kuwa uamuzi wa kurudia au kutorudiwa ni wa Serikali na raia wa Togo. Waombe kukutana na Serikali!

Sasa wameandika barua kuiomba Serikali iitishe kikao! Serikali imejifanya haina masikio[emoji38][emoji1][emoji3]
Siku zinaenda! Uchaguzi wa raisi unakuja mwakani. Sasa UKAWA hii imeanza kugombana! Baadhi wameandika barua ya kuomba radhi. Maana kwa mujibu wa hizi katiba za makoloni ya mfaransa ili ushiriki uchaguzi wa raisi lazima uwe umeshiriki uchaguzi wa "Deputies" aka WABUNGE

MBOMBO NGAFU! MCHAGA KANYIMWA HELA
Yumkini waomba radhi watasamehewa ila uchaguzi wa raisi katiba hairuhusu.
Ala Ala kina CHADEMA na ACT. Kabla ya kuchukua maamuzi sampuli hii muwe mnatafiti nchi nyingine ilikuwaje?
Sio leo mtu anadai ni ujinga na makosa kususa kesho anatangaza kususa.

Hiki kipengele cha sifa ya kushiriki uchaguzi mkuu mnaonaje tukikiiga? Yaani ukisusa uchaguzi wa Local Government unakosa sifa ya kushiriki uchaguzi wa Serikali Kuu?
Ingefaa?
.
20191111_103322.jpeg
 
Matusi ndiyo demokrasia? Kutoheshimu mawazo ya wengine ndiyo Demokrasia? Tukisema na wewe ndo wale wale kasoro rangi tutakuwa tumekosea? Tofauti yako ni nini?
Ndani ya demokrasia ukitoa mawazo ya kipumbavu utaambiwa mpumbavu waziwazi bila kupindisha maneno! Unachotakiwa kufanya ni kutoa mawazo yako bila bila kukejeli au kukandia mawazo au maamuzi ya wenzako!
 
Back
Top Bottom