Hili bomu jingine lisilojitambua. Alikuwa Mtanzania aliyejidai kutetea utawala bora. Ikaja kudhihirika ni mganga njaa tu wa CCM. Anataka ubunge huko Mbeya.
Nawe hauko tofauti sana na George Mwakalinga.
Siasa za Tanzania upande wa vyama vya upinzani zimejaa kila aina ya vibweka toka enzi za NCCR mpaka leo hii tunaona na Chadema pia. Lakini mi mtazamo wangu ni kuwa Chadema lazima kipitie majaribu makubwa ili kiwe chama imara. Sasa ni kwao Chadema kutuzihirishia kwamba they can survive the test of time. Maana ni kweli vyama vingi vya upinzani vimekuwa kama NGO za watu vile.Ukikosana kimtazamo na hao wakubwa then you are out!Na lingine ni hii infiltration ya watu wanaonia kuvusambaratishaNgoja awaudhi wenye chama ndio atajua unachooongea..dogo bado anabebwa kwa nepi...
walioandika ni gazeti la Mwananchi,usinisakame mimi?anayewashwa MBOWE na Asha Abdala adi leo hajaolewa na analipuliza.hivi wewe mbona unawashwa san na mambo ya CHADEMA??kama unapenda siasa si uanzishe chama chako.personally unini bore sana.Unakuwa kama voyeur ...kazikuchungulia mambo ya watu
akili fupi, mawazo duni , mdini, mshari, usie na dira, umekata tamaa, masikini wa fikra, shame on you.Acha pumba zako chadema ndiyo maana mlimuondoa Zitto kuwa mwenyekiti kwasababu ni chama cha wakrisro na wachagga..angalia safu yake uongozi...MDINi mkubwa wewe...
Akili fupi, mnafiki,mdini, mpumbavu, huna dira, mlevi, unapenda vya bure hasa pombe, maskini wa fikra, shame on you lol.akili fupi, mawazo duni , mdini, mshari, usie na dira, umekata tamaa, masikini wa fikra, shame on you.
Ungeniuliza ni kiongozi gani wa chama cha siasa una-appreaciate uongozi wake so far ningesema..ni "Ibrahimu Lipumba" wa CUF
Kwanini, chama kimelaumiwa sana kuwa na cha kidini lakini kila siku wanajitahidi na unaona viongozi wanafanya hivyo kwa vitendo...kuwa chama cha kitaifa...inapenetrate sehemu na kona zote za nchi.. hajalaumiwa uadilifu wake iwe katika kuonea mwanchama au kufisadi fedha za chama, hana njaa na ni msomi muadilifu..that is my take.
Walimfanyeje?Umesahau walivyomfanya Prof. Safari alivyogombea nafasi ya mwenyekiti??
Tujiulize hapo kwa kauli ya Mtei- yaani Mwanachama wa CHADEMA hana haki ya kuhoji juu ya mambo ambayo anaona hayaendi vizuri katika CHADEMA? Kwangu mimi naona kuna tatizo katika Uongozi wa CHADEMA na hata kwa Mwasisi wake Mzee Mtei.
Mkuu kwanini Tusianze kuhoji kwenye CHAMA TAWALA KWANZA ? Au mambo ya CCM yana kwenda vizuri ?
kwahiyo chadema sawasawa na ccm eh!mbona hamhoji SHibuda anapotaka kugombea uenyekiti wa CCM na Urais?nyie watu vipi nyie?
Tujiulize hapo kwa kauli ya Mtei- yaani Mwanachama wa CHADEMA hana haki ya kuhoji juu ya mambo ambayo anaona hayaendi vizuri katika CHADEMA? Kwangu mimi naona kuna tatizo katika Uongozi wa CHADEMA na hata kwa Mwasisi wake Mzee Mtei.
Mkuu kwanini Tusianze kuhoji kwenye CHAMA TAWALA KWANZA ? Au mambo ya CCM yana kwenda vizuri ?
T Blister, Hicho Chama Tawala tumeshajua muda mrefu kuwa kinachechemea. Kwangu sinaoni hasara ikiwa kitaishia kama KANU ya Kenya na UNIP ya Zambia au MDC ya Malawi. Tatizo ni Chama Tawala kinaelekea kujifia halafu tunakosa Chama mbadala cha ku-take over na kutufikisha pale tunapopataka kwa ajili ya kutokuwa makini, kutoaminiana na kuendekeza visasi. Inatia uchungu!
Matukio hayo yaliyotokea CHADEMA na yanayoripotiwa juu ya watu kadhaa kujiengua kutoka CHADEMA si ajabu yakawa ni kweli na sitashangaa nikisikia watu mashuhuri ndani ya CHADEMA wakiendelea kujienguia kutoka chama hiki ambacho sisi wapenda mageuzi tunakiona kama nguzo ya upinzani nchini na hata kukichukulia kama Chama mbadala cha CCM.
Kwa hiyo; kwa vile CCM wana maruarua yao, basi ule uozo wa CHADEMA tuufungie macho? Kuna ubaya gani kuongelea upupu unaochanua CHADEMA hivi sasa bila kuacha kupiga vita ufisadi wa CCM?
CHADEMA tatizo ni moja tu, kuwepo madarakani kwa Mbowe akipigiwa kifua na Mzee Mtei. Mengine yote yanatokana na ubinafsi wa hao wawili.
CCM tatizo ni moja tu, JK. Aking'olewa halafu pakawa na uteuzi safi na wa haki wa kiongozi wake, CCM itanenepa na nchi itang'ara upya.
Tatizo ni kuwa Mbowe na JK wote hawako radhi kuachia utamu wanaoukalia. Zidumu fikra zao.
NInashangazwa sana kuona jinsi ambavyo wasomi wengi Tanzania hawaoni namna CCM na serikali yake inavyofanya bidii kubwa kudhoofisha upinzani.
Kwa hakika mission kubwa zaidi ya CCM ni kuhujumu progress za vyama vya siasa. Mafisadi ndani ya CCM wanafadhili kwa wingi sana kazi ya kudhoofisha upinzani ili fursa yao ya kuifisadi nchi isiharibiwe.
Kibaya zaidi ni uhakika kuwa usalama wa taifa unafanya kazi kubwa ya kupambana na wapinzani na upinzani.
Vikwazo vilivyowekwa kwa kila atakayeingia upinzani ni mkakati muhimu sana wa kuhakikisha kuwa kambi ya upinzani inakimbiwa na kuepukwa na kila anayetaka maendeleo binafsi.
Kama kungekuwa na haki sawa katika uwanja wa siasa Tanzania, CCM isingekuwa madarakani.
...............
CHADEMA tatizo ni moja tu, kuwepo madarakani kwa Mbowe akipigiwa kifua na Mzee Mtei. Mengine yote yanatokana na ubinafsi wa hao wawili.............