Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.
Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.
Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.
Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.
Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.
Mwakilishi
Mwanahabari Huru
Mwanza
Eeh!chadema ni chama cha shetani
Asante kwa ukaribisho wa ukarimu.Njoen somalia
Hiyo Kata hatuwezi kushinda ndugu zanguPalisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.
Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.
Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.
Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.
Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.
Mwakilishi
Mwanahabari Huru
Mwanza
Kweli kwa sababu yote wanayofanyiwa na chama cha malaika wako hewala hawajibu mapigo.chadema ni chama cha shetani
Sasa kwanini wanawashikilia wagombea na kampeni-meneja kipindi muhimu hivi ilhali wanajua kabisa Chadema haiswezi shinda hiyo kata? Kutojiamini au ni kweli wamefanya kosa?Hiyo Kata hatuwezi kushinda ndugu zangu
CHADEMA tusipoteze muda,hatushindi
kata tutakazoshinda ni baadhi za arusha ,ya kimara na mbweni
Baba yako yuko CHADEMA, kwa hiyo moja kwa moja na wewe ni mtoto wa shetani.chadema ni chama cha shetani
Baba yako yuko CHADEMA, kwa hiyo moja kwa moja na wewe ni mtoto wa shetani.chadema ni chama cha shetani
Na kupokea mafisadi na kuwaita makamanda ni laana ya milele.Kuchagua CCM ni kuchagua laana ya milele
Upi ndugu yangu maana sijawahi kusikia wamerusha risasi au kuiba mali za umma kama vile EPA, ESCROW na kadhalika.chadema ni chama cha shetani
ccm inaongozwa na shetani mkuuchadema ni chama cha shetani
Mtanyooka tu.Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.
Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.
Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.
Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.
Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.
Mwakilishi
Mwanahabari Huru
Mwanza
Bwana Missana ni msukuma.Na kwa mjibu wa Chadema wasukuma wote ni washamba na malimbukeni!Unaweza kutoa neno ktk hilo?Zimbabwe wamefanya jambo la maana sana.
Zimbabwe wamefanya jambo la maana sana.