CHADEMA MWANZA: Mgombea Udiwani Akamatwa na Polisi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.

Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.

Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.

Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.

Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.

Mwakilishi

Mwanahabari Huru
Mwanza
 
CCM bila mbeleko ya Polisi ni laini kama mlenda, kama mnabisha ruhusuni uwanja sawa wa siasa muone tutakavyowatoa ngama.
 
Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.

Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.

Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.

Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.

Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.

Mwakilishi

Mwanahabari Huru
Mwanza
Hiyo Kata hatuwezi kushinda ndugu zangu
CHADEMA tusipoteze muda,hatushindi
kata tutakazoshinda ni baadhi za arusha ,ya kimara na mbweni
 
Sasa kwanini wanawashikilia wagombea na kampeni-meneja kipindi muhimu hivi ilhali wanajua kabisa Chadema haiswezi shinda hiyo kata? Kutojiamini au ni kweli wamefanya kosa?
 
Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.

Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.

Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.

Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.

Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.

Mwakilishi

Mwanahabari Huru
Mwanza
Mtanyooka tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom