Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Palisi Mwanza wanamshikilia Mgombea udiwani kata ya Mhandu Bw Godfrey Misana na meneja kampeni wake charles Chinchibela tena kwa sababu wanazodai ni uchochezi.
Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato wanakoshikiliwa ameondoka ofisini huku kukiwa na maelezo kwamba dhamana ya watuhumiwa wetu itatolewa kwa idhini yake.
Tuko polisi na wakili Gaspar Mwanalyela pamoja na wanachama wengine.
Itakumbukwa kwamba tunapaswa kuwa na mkutano wa hadhara leo saa 10:00 jioni.
Pengine hii ni mbinu ambayo wapinzani wetu wanadhani itawaokoa na kipigo cha tarehe 26/11/2017.
Mwakilishi
Mwanahabari Huru
Mwanza