CHADEMA MWANZA: Mgombea Udiwani Akamatwa na Polisi

chadema ni chama cha shetani

Hata UVZANU PF waliyasema unayoyasema wewe!Leo yuko wapi Mugabe na hao waliomsupport?Ukiona mtanzania mwendako anaonewa usiangalie Chama chake angalia UTU wake.

Hakuna aliyejua Zimbabwe Army watamuondosha Grace Mugabe kwa nguvu,na wala Mugabe mwenyewe hakuwahi kuota yaliyotokea jana yangetokea.Unapoishi duniani angalia chini unapotembea umemkanyaga nani!
 
Hiyo Kata hatuwezi kushinda ndugu zangu
CHADEMA tusipoteze muda,hatushindi
kata tutakazoshinda ni baadhi za arusha ,ya kimara na mbweni
wamechochea kitu gani tena, manake naona wanaokamatwa ni wapinzani tu, ccm sijasikia wamekamatwa, na juzi dar wamepita na magari yao kwenye barabara ya mwendo kasi na askari wakiwakodolea macho tu, hivi wangekuwa nahisi ingekuwa kifuatato ITV
 
Kuna watu wanatafuta kiki, kamanda umeshauza news kesho! mengine hata kwa busara ya kawaida yatosha,huwezi zuia mafuriko kwa mikono
 
Back
Top Bottom