CHADEMA Mwanza almanusura wazipige

Magamba yanaweweseka sana,yatakufa kwa presha hata kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.mleta uzi mpe hi H.Matata
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

We nenda kwenye msiba wa mwenzenu achana na porojo.
 
Nyie ndo mnapora kazi za wenzenu. Wewe ukiwa mwongo hivi shetani afanye kazi gani. !!!?!
 
We nenda kwenye msiba wa mwenzenu achana na porojo.
Hivi postmortam ya mwili wa C Mabina umeshafanyika?Ratiba ya mazishi vipi?Hawa magamba waachane na mambo ya CDM,wahangaikie yao.
RIP kijana aliyeuawa na Mh diwani marehemu Mabina.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

LAKINI; Ya CCM Kwa UBABE UBABE haiishi kwa KUPONDANA MAWE Mpaka MAUTI... Sasa Wapi HATARI ??

CCM MIKUTANO YAO ni kuondoana MAISHA Ina TISHA
...
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

Kada wa CCM Ditopile wa Mzuzuri alimpiga kijana wa watu dreva risasi wanainchi wenye hasira wakaanza kumgombania akakimbilia kwenye kambi ya jeshi kujisalimisha.

Bwana CLEMENT MABINA kada maarufu wa CCM ndani ya kata yake anayoitawala ya Kisesa kampiga kijana wa watu risasi ya moto kamwua wanainchi wenye hasira wakamzunguka wakaokota mawe wakampiga nayoooo mpaka wamemwua

Hizo siyo fujo ni sherehe za CCM
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

Ukienda mikutano ya chadema,uvae helmet, body armour na mabuti, maana hakuna amani.
 
Back
Top Bottom