Makangarawe
Senior Member
- Nov 19, 2013
- 101
- 24
Mtiririko wa matukio wa Chama cha Chadema umenipa hofu sana na kunikatisha tamaa kwani chadema imepoteza mvuto sio Chadema ile ya Bwana Zitto na Slaa niliijua mimi
Wamefanya kampeni kwa gharama kubwa lakini hakuna walichoambulia ukilinganisha na gharama za kampeni,sasa hivi wapo Kalenga licha ya kutumia kila aina ya mbinu kuweka mambo sawa wanazidi kupoteza viongozi na mvuto,kosa walilokosea Chadema ni katika kumteua mgombea,sina haja ya kulieleza sana kwani wanaona jinsi walivyo na wakati mgumu kumnadi mgombea,hii pia itatokea kwa Chalinze kama wasipokuwa makini,ni kwanini haya yote yameikuta Chadema.
Kumuondoa Zitto ambaye alikuwa nyota ya chadema na mwenye mikakati madhubuti ya kuimarisha chama,ameondoka na nyota yake na mikakati yake Chadema sasa inakufa kifo cha kienyeji.
Kumuamini Mabere Nyaucho Marando,tazama historia ya mluo tangu kenya,ni kwanini mkikuyu hamwamini mluo?mtafute mkikuyu yeyote atakupa majibu,mkipata majibu mtajua mlipokosea,
Slaa hana mvuto tena,hapati taarifa nyeti za serikali kama hapo awali amebanwa mbavu anasubiri mwisho mwema huku akijitahidi kukinadi chama upya utadhani ndio kimesajiliwa juzi,hayo matatu ndio kifo cha Chadema,
Ushauri wangu rudini kaeni chini kama anavyofanya Bwana Mbowe Unganeni na Ccm muijenge Tanzania bora yenye amani na utulivu.