CHADEMA Musoma Mjini wanashangilia ushindi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Musoma Mjini wanashangilia ushindi?!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kieleweke, Oct 31, 2010.

 1. K

  Kieleweke Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani,

  Hivi humu JF hakuna walioko Musoma watujuze. Dakika 10 zilizopita nimepata message kuwa wana-CHADEMA huko jimbo la MUSOMA MJINI wameshaanza kumwagiko mtaani kwa cherekochereko.

  Dakika moja iliyopita nimekata simu kuhakikisha kwa jamaa yangu aliyeko Musoma anipe chochote anachokiona.

  Alicyonijibu anasea yeye yuko nyumbani lakini kwa nje ni kweli anasikia watu wakipita na kushangilia wakisema Peopleeeeeeees.....Poweeeeeeer!

  Hebu saidieni kupigia simu zaidi maana phonebook yangu kwa watu wa Musoma nimepmata huyo tu na wengine wamezima simu.
   
Loading...