CHADEMA: Muongezeni Sumaye awe mgombea wa EAC

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
li kuwakomoa watani wao wa jadi, CHADEMA wamuongeze Sumaye katika wagombea wao wawili akina Masha na Wenje ili wapigiwe kura, hapo itakuwa kuntu kwani hao wote CCM hawawapendi lakini watalazimika kuwapigia kura watu wawili.
 
IMG-20170404-WA0018.jpg
 
  • Thanks
Reactions: mdy
CHADEMA kuna vijana wasomi wenye uwezo mzuri sana tafuteni Hata kumi muwapelekee ili wawachagulie wawili
 
ILI KUWAKOMOA WATANI WAO WA JADI, CHADEMA WAMUONGEZE SUMAYE KATIKA WAGOMBEA WAO WAWILI AKINA MASHA, NA WENJE ILI WAPIGIWE KURA, HAPO ITAKUWA KUNTU KWANI HAO WOTE CCM HAWAWAPENDI LAKINI WATALAZIMIKA KUWAPIGIA KURA WATU WAWILI.
Kwani Sumaye ni Mwanamke.?
 
Tena Sumaye msomi mahiri wa Harvard; mbobezi na mzoefu wa siasa za nchi na ukanda huu. For more than 10 years as PM sio mchezo.
 
Naungana mkono hoja.mpelekeni kichomi yeyote wa hili liserikali ili hao wabunge wa ccm wakome.
 
Hawa ccm si wamezoea wapunge wa kujazia tu ilamradi liende? Basi chadema aongezwe wema sepetu.
 
Back
Top Bottom