Kwahiyo unamwambia nani?
Kwa hiyo mnahamasishana kwenye jf? Akili hizi bana
We mgonjwa umepona?
Kwani alikuwa anaumwa? na nini hasa kilikuwa kikimsumbua?
nadhani kama lisu hali aliyonayo ndiyo na huyu inamsumbua.
Mohamedi Mtoi atakuwepo?chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao unguruma leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza
Pigeni kazi ukombozi wa pili kutoka mikononi mwa wakoloni weusi MACCM umekaribiachama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao unguruma leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza