CHADEMA Mtwara

CHADEMA Mtwara

Ramark

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
1,989
Reaction score
1,450
Mtwara imekumbwnashi nyingi zauchi z
 
Duh kupata points hapo ni kazi kweli kweli, kwahiyo Nanauka kahujumiwa ama? Vp Tunza Issa Malapo hawezi kuleta umoja kwa wanachadema hapo Mtwara? Maftah na Joel hawaelewani? Nini hatma ya Joel kuelekea 2020? CCM na cuf Je?
 
anaonekana kunajambo anataka kusema ila ananahasila, punguza jaziba utuambie unachotaka kusema
 
Tuliza akili utaelewa na kama huelewi hakuandikwa kwa ajili yako

Nimeandka kwa ajili ya kuwafahamisha umma na viongoz wake cdm mjue mje mtwara muondoe ukinzani
Mliaminika kwa intelligence but la mtwara linawaaibisha
Naumia kuona Cdm inaumia mmekaa tu haya mpaka watu wauane mje kuzika
Cdm mtwara na kanda ya kusini inahitaji msaada wenu
Leo hata mtu kusema cdm ni ngumu kwan n kama kujiaibisha
Hakuna anayeweza rejesha heshima ya cdm tofauti na ujumbe toka makao
 
Yaani taahira akikasirika halafu akaamua kuandika? hakika huwezi kupata pwenti!! Andishi reeeeefu ingia ndani sasa kama utapata chochote! Huko hata CHADEMA ikifa CUF yatosha!
 
Umejitahidi sana ila wacha kuongelea lichama la ukanda na umimi Lina NYUMBU wake liache ACT;-TAIFA KWANZA
 
Ulicho kiandika inawezekana kikawa kina maana sana,lakini hakieleweki,hebu rudia kuandika upya kwa utulivu,usiwe mbishi
 
Aliyeandikiwa anaelewa
 
Yaani taahira akikasirika halafu akaamua kuandika? hakika huwezi kupata pwenti!! Andishi reeeeefu ingia ndani sasa kama utapata chochote! Huko hata CHADEMA ikifa CUF yatosha!

Kabisa mkuu CUF yatosha, ninani asiejua kuwa kusini tokea mfumo Wa vyama vingi uasisiwe kuwa hiyo ni ngome imara ya CUF!!!!??

Ni hujuma za CCM na tume yake ya uchaguzi tu ndio inayoifanya CUF isifanye vizuri lakini kama tungekuwa na chaguzi huru na haki basi hakuna ubishi kusini ingekuwa Pemba ya Tanzania bara!!! Sasa kwa chadema kulazimisha lazima wagombee kusini ni moja wapo iliyoufanya UKAWA isifanye vizuri sana.

Kwisha kwa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi ni wakati mzuri Wa UKAWA kukaa chini na kujitathmini na kujua wapi walikosea na wapi walipatia!! Halafu wapange mkakati wa mambo yaliyotokea segerea kwa mtatiro hayajirudii tena kwa kila chama kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa na UKAWA.

Si busara kutoyaheshimu maamuzi mliojiwekea ya ujumla kwa baadhi ya vyama kujiona bora zaidi ya wengine, hili limetugharimu sana uchaguzi huu uliopita.
 
Naona Mmakonde anatukomoa Wanyamwezi maana hapo mie na Magufuli ukaongeza na Kigwaangallah tupo chali.
Jamani huyu Mmakonde anaandika kama anaongea na mtu. Sasa wengi hatujui kimakonde cha kuandika.
 
teh teh teh teh chema chikamoo chadema.! chichi bado tupo ngangari somooo baaah chamaki nchanga na ming'oko chomoo nouma!!
 
Uchaguz umepita
Tatizo lililopo ni ombwe la uongoz, usaliti na kukosa nidham kwa viongoz wa chama na serikali ukichochewa na cuf, na kina mbowe hilo wanajua, ebu fikir ingekuwa cuf pangekalika hapa umakonden
Uchaguz wa naibu meya nao watu wa cuf wanaleta mgogoro dhid ya cdm.
Makao msipokuja basi mjue itachukua gharama kubwa kuirudisha cdm in peak mtwara

Wakuu wenye mapenz mema na cdm saidien kutoa shinikizo waje wamalize mgogoro
Cdm itulie na ukawa ung'ae
 
Kabisa mkuu CUF yatosha, ninani asiejua kuwa kusini tokea mfumo Wa vyama vingi uasisiwe kuwa hiyo ni ngome imara ya CUF!!!!??

Ni hujuma za CCM na tume yake ya uchaguzi tu ndio inayoifanya CUF isifanye vizuri lakini kama tungekuwa na chaguzi huru na haki basi hakuna ubishi kusini ingekuwa Pemba ya Tanzania bara!!! Sasa kwa chadema kulazimisha lazima wagombee kusini ni moja wapo iliyoufanya UKAWA isifanye vizuri sana.

Kwisha kwa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi ni wakati mzuri Wa UKAWA kukaa chini na kujitathmini na kujua wapi walikosea na wapi walipatia!! Halafu wapange mkakati wa mambo yaliyotokea segerea kwa mtatiro hayajirudii tena kwa kila chama kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa na UKAWA.

Si busara kutoyaheshimu maamuzi mliojiwekea ya ujumla kwa baadhi ya vyama kujiona bora zaidi ya wengine, hili limetugharimu sana uchaguzi huu uliopita.

Nakuunga mkono kiongozi kwa asilimia zote! Huu uzembe uliojitokeza kwa watu kulazimishia kuvunja makubaliano umetugharimu sana. Angalia pia kilichotukuta kwa Nape, huyu hakuwa mtu wa kushinda kabisa kama makubaliano yangeheshimiwa, Mtatiro kwa kweli tumemwangusha kwa uzembe wetu wa kutomkaripia yule binti mpuuzi (kumbe mtu mwenyewe alikuwa amepita hata kwenye viti maalum). CUF waachiwe kusini yote ili waigeuze iwe Pemba yetu!!
 
Back
Top Bottom