CHADEMA mti wenye matunda, ni lazima urushiwe mawe

rpg

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
3,620
Reaction score
1,480
Ninapopitia post humu janvini najiuliza, kwanini nguvu zote hizi dhidi ya Chadema?

Ninashangazwa na nguvu kubwa zinazotumika humu dhidi ya chadema. Kuna watu, bila hata hoja, utakuta wamepost zaidi ya mara mia mbili kwa siku dhidi ya chadema. Mara utasikia chadema inaelekea kufa, mara ni chama cha wachaga, mara badilini uongozi. Ni watu walewale kila siku, huku tuhuma zikiwa ni zile zile, kwa style zilezile. Tuhuma, hizi sizioni kupelekwa kwa vyama vingine kama CUF, NCCR, nk.

Lakini pia cha ajabu kundi hili la watu wanaoshambulia chadema hawapumziki. Ukiingia sa kumi na mbili wapo online. Watu haohao ukiingia saa nane usiku wamo. Swali la kujiuliza hawana kazi zingine zaidi ya 24/7 ndani ya JF? Hali hii inaashiria nini? Mafanikio makubwa yaliyofikiwa na chadema yanawakera? Upiganiaji wa haki unaofanywa na chama hiki unawakera?

Ni kuiogopa chadema? Ni vita ya kuidhoofisha chadema? Je ni kweli nafsi zao zimewatuma kuipinga chadema kama sisi nafsi zetu zilivyotutuma kuitetea chadema bila shinikizo?

Tulijadili hili.
 
mti wa kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu na kubagua watu kidini na kikabila
 
kwa sababu chagadema ni genge la wamwaga damu,wauwaji na mumiani
 
Mti wa matunda ya ubaguzi na uchochezi na kuvuruga amani ya nchi...ole wao wachumao na waketio chini ya mti huu hukumu ya Mungu ipo juu yao..!!!
 
Mpaka hapa umeshapost mara kumi for revange against my post. This shows how weakest creature you are. Unatumika kama ...kndomu

nakusha ukweli, regardless matusi yako, mimi nakupa za uso, kwani nn bana
 
Tunapiga jalamba kujibu mapigo maana tumefanya siasa za kistaarabu siku nyingi na sasa wametoka genge lao la waharifu Ccm kuleta uharifu wao hapa. Tatizo ni kwamba Jf siku hizi hawasimamii misingi kama zamani, threads bora zinafungwa baada ya sekunde hizi za waharifu zinadumu!!!
 
Utaifakwanza kwa kawaida sipendi kucomment wa puuzi kama wewe but it just happened kwa sababu ya maujinga unayoandika humu jukwaani
 
nakusha ukweli, regardless matusi yako, mimi nakupa za uso, kwani nn bana

Nakusha ndo nini we LB7?

Ungesubiri usifiwe sio kujisifu, hamnazo kabisa. Houni aibu post zote wewe tu!
 
Back
Top Bottom