Hawa ccm na Zitto team wamemwaribia zaidi Zitto kwenye siasa na kumjenga zaidi Dr Slaa kwani siku za Leo watu wanachambua sana mambo maana najua kabisa kesho magazeti yote ya ccm na washirika wake eg mwananchi waripoti kuwafurahisha wafadhili lakini j3 CHADEMA watafafanua na tutaelewa ukombozi unaendelea.