CHADEMA mtashinda kwa kishindo Oktoba 2015

CHADEMA mtashinda kwa kishindo Oktoba 2015

Soma hapo chini ujue chama gani kitashinda urais. Hii niliandika tangu 2013 baada ya kuona cdm ni wana mwenyekiti mjingaa mjingaaa mpenda madaraka
 
CCM inaenda kupata pigo moja takatifu hawajawahi kuliota wataona kama ulimwengu wote ni manyang'au.
 
Soma hapo chini ujue chama gani kitashinda urais. Hii niliandika tangu 2013 baada ya kuona cdm ni wana mwenyekiti mjingaa mjingaaa mpenda madaraka
CHADEMA hakiendeshwi kwa maamuzi ya kushikiwa ile ni nguvu ya umma na ni movement of change with nor apology walimu wa democracy.
 
Soma hapo chini ujue chama gani kitashinda urais. Hii niliandika tangu 2013 baada ya kuona cdm ni wana mwenyekiti mjingaa mjingaaa mpenda madaraka

Ushaenda kona bar?
 
CHADEMA hakiendeshwi kwa maamuzi ya kushikiwa ile ni nguvu ya umma na ni movement of change with nor apology walimu wa democracy.

Mapambano ndiyo yameshika moto tunahitaji kumuondoa mkoloni mweusi ccm
 
Kwa kisingizio cha EL hapo mmebug

Tumebugi nini wakati tumeanza na kuzoa madiwani wote,wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji, tumeanza na bariadi,leo yumeingia monduli,kesho kahama ni safisha safisha
 
Huitaji kufanya hesabu za MAGAZIJUTO kutambua kwamba wana CDM+UKAWA watashinda kwa kishindo oct 25. Nakupa 7bu chache sana zny mashiko.

1. CCM haina mvuto tena kwa vijana, wazee, wasomi na hatata watoto wa primary.

2. Vijana wamejitokeza kujiandikisha kwa wingi na wamehasika kwnd kupiga kura tofauti na miaka ya nyuma. Na hawa ndio hazina kuu ya kura kwa CDM+UKAWA.

3.Kuondoa jina EL kwa fitina na uzandiki tayari i mpacts zake zinaonekana kwa wanachama wa CCM kuhamia CDM, Itawaghalimu.

4. Kauli za kifedhuli na kibazazi zinazotolewa na viongozi waandamizi wa chama. Mfan ccm itashinda hata kwa goli la mkono. Hatari.

Zaidi ya miaka hamsini tanga tupate uhuru hakuna uhuru wa kweli na mabadiliko yenye tija kwa watanzania. Poleni Watanzania.

5. Tabaka kubwa la walionacho na wasionacho hasira zinaongezeka kwa Watanzania. Vigogo wacheche wa ccm wana ukwasi mkubwa ilhali majority ya wa tz ni masikini wa kutupwa.

Kwa mfano watu kuishi kwenye tembe ndo maisha bora hayo mkuu wa kaya?

Viroba vya Lema vinakutoa ufahamu. Mimi ni kijana na nina wenzangu zaidi ya 50 tutaipigia kura CCM.
Sisi tumeenda shule. Hatuwezi kuongozwa na uhuni wa akina Mbowe, Ndesamburo, Bavicha bangi la Jambazi Lema
 
Back
Top Bottom