Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 56,490
- 106,706
Lianzishe kwanza weye!Mkuu tumetumia amani kwa muda mrefu ila haijaleta mafanikio hata kidogo. Hiyo amani unayoihubiri ndiyo chanzo cha kuletewa sheria kandamizi mfano sheria ya tozo ya miamala ya simu n.k. mfano hili suala la "solidarity tax" hatukutakiwa kulifumbia macho bali tulitakiwa kuonesha vitendo mfano migomo dhidi ya bidhaa za makampuni yote ya mawasiliano , maandamano n.k
From there we could at least raise a red flag to this repressive regime. But tupo kimya tu.