Chadema mtajuta kuwafahamu akina Sumaye

Chadema mtajuta kuwafahamu akina Sumaye

Hiyo sio hisani bali haki yao ya kikatiba!
Yanayotokea ni JPM kununua wapinzani!Huoni walivyotunukiwa vyeo huko ccm?
 
Tangu lini mtu anaepewa mshahara na ulinzi na serikali akawa mpinzani? Kwa sasa wako huko kwa "kazi maalum"
Mlikuwa kwa Mh Mbowe kwamba astaafu siasa na kaongoza sana CDM; sasa mmemgeukia Mh Sumaye tena?
 
Hata Mbowe analipwa na serikali,anatumia gari la serikali kama KUB
Jamaa lilikuwa halijui litapiga kelele anyag'anywe gari mara moja... ha ha ha

Kuingoza taifa la namna hii ni rahisi mno.
 
Kuna mtumishi yeyote wa umma hasiyelipwa na serikali (umma) ?
 
Yani huwa najiuliza sana kuhusu huu upinzani wa Tanzania sipati jibu. Hivi kama wanaweza kununuliwa na CCM kama wenyewe wanavyosema vipi tungewapa nchi yetu pendwa!!? Si wangetuuza hawa!? Hivi wazee wa US waje na mzigo wa kutosha si tungepelekwa utumwani kabisa! Nawaza tu....
 
Back
Top Bottom