ni namna tu ya kuwateka kwa kuwaambia ukweli na uhalisia wa hoja hizo hapo juu. kitakachobaki ni kulinda kura tu. sote tunajua hata Tundu lisu alisumbua sana 2020, alisumbua sana. sema basi tu, alikuwa almanusura achukue nchi.wapiga kura je?mbona huongelei nature yao ilivyo?
Hahahaha yaani ba-vichaaa ndoto zenu huwa zinachekesha kweli.trust me, kuna siku haya maneno yako utayakimbia mwenyewe, kwani utajiona mjinga kabisa.
Acha kuota mchana mbwisi mkubwa. Hilo li NGO lilishakufa kifo kibayaMnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.
Tumtumainie Mungu,wawakilishi watachukua wengi sana. na hapo juu pia miujiza huwa inatokea.
Ndoto za alinacha na ramli chonganishi.Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.
Upinzani ukitaka kuchukua Nchi waanze kuongea na vyombo vya dola. Uwakikishie security baada ya CCM kutoka madarakani, maboresho ya mishahara na marupurupu yao.Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,