Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hivi wewe wawapi huangaliagiTV,husomi Magazeti,hukuwaona viongozi wa dini wakitoa matamko ya kuwasihi CHADEMA? Ulitaka kikao waje wafanyie chumbani kwako,hivi lipumba ana impact kwa siasa za sasa?Kweli Wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana Ubongo wa kuku.Baada ya kufeli na kubomoka kwa UKUTA sasa wametunga uongo kuwa Prof.Lipumba amejiunga na ACT-WAZALENDO.Chadema hawa hawa wamesahau kuwa mwaka jana 2015 walisema Fisadi Lowassa atajiunga na ACT-WAZALENDO.Leo wamesahau waliyosema mwaka jana juu ya Lowassa kujiunga na ACT-WAZALENDO.Wanachotaka ni kutusahaulisha suala la kufeli na kubomoka kwa UKUTA.
Wamedanganya kuwa waliombwa na viongozi wa dini ili wafanye mazungumzo na Serikali.Ukiwauliza,mbona hatukuona hicho kikao cha chadema na viongozi wa dini?
Je;Mwenyekiti wa kidini na wajumbe wa kidini ni akina nani wanaosimamia majadiliano hayo.
Kweli Wanachama na Wafuasi wa Chadema Wani waa Ubongo wa kuku.
Ana macho haoni ana masikio hasikii ana kichwa kimegeuka kifuu cha naziHivi wewe wawapi huangaliagiTV,husomi Magazeti,hukuwaona viongozi wa dini wakitoa matamko ya kuwasihi CHADEMA? Ulitaka kikao waje wafanyie chumbani kwako,hivi lipumba ana impact kwa siasa za sasa?
Hivi wewe huwa huna maneno mengine ya kuandika? Toka umejiunga maneno yako ndio haya haya yaani kama panya ndani ya tunduMuosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.
Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii
Wewe ni nani hata ujue mipango yote ya ndani ya chadema? Umeshiba ugali usiku huu, halafu unaamua kuja kubeua hapa jamiifroum.Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana sahau. Baada ya kufeli na kubomoka kwa UKUTA sasa wametunga uongo kuwa Prof. Lipumba amejiunga na ACT- Wazalendo.
CHADEMA hawa hawa wamesahau kuwa mwaka jana 2015 walisema fisadi Lowassa atajiunga na ACT-Wazalendo. Leo wamesahau waliyosema mwaka jana juu ya Lowassa kujiunga na ACT-Wazalendo. Wanachotaka ni kutusahaulisha suala la kufeli na kubomoka kwa UKUTA.
Wamedanganya kuwa waliombwa na viongozi wa dini ili wafanye mazungumzo na Serikali. Ukiwauliza, mbona hatukuona hicho kikao cha CHADEMA na viongozi wa dini?
Je; Mwenyekiti wa kidini na wajumbe wa kidini ni akina nani wanaosimamia majadiliano hayo.
Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana ubongo wa kuku.
Chadema ndio wana muandama Lipumba kuliko wana CUF
Hawa jamaa wanataka kukiua CUF kama walivyoimaliza NCCR.....Chadema ndio wana muandama Lipumba kuliko wana CUF
Hao Lumumba waliomsajili Lupyee wamelamba galasa. Nadhani hajaenda shule. Soon Lumumba watamtumbua, kwa kuwa amekariri maneno yale yale kamakasuku. Hajui kujenga hoja kabisa.Hivi wewe huwa huna maneno mengine ya kuandika? Toka umejiunga maneno yako ndio haya haya yaani kama panya ndani ya tundu
Tena kuku wa kufugwa (broiler)....Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana ubongo wa kuku.
na ww acha kujificha nyuma ya chadema; jadili ya LUMUMBA.Chadema acheni kujificha kwa lipumba
Huyu bepari uchwara lazima afirisiwe awamu hii alikua anaishi kwa janja janjaMuosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.
Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii
Ccm ndio wanamtetea lipumba kuliko wana CUFChadema ndio wana muandama Lipumba kuliko wana CUF
Hujui toafauti ya TAX na Rent,endelea kuropoka!Muosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.
Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii