Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,209
Atakaposhinda kesi uje hapa kupayuka tena!Huyu bepari uchwara lazima afirisiwe awamu hii alikua anaishi kwa janja janja
Atakaposhinda kesi uje hapa kupayuka tena!Huyu bepari uchwara lazima afirisiwe awamu hii alikua anaishi kwa janja janja
Yaani JF imevamiwa na hawa watu hawajui hata kujenga hoja!Ni ushabiki na ukanjanja tuHao Lumumba waliomsajili Lupyee wamelamba galasa. Nadhani hajaenda shule. Soon Lumumba watamtumbua, kwa kuwa amekariri maneno yale yale kamakasuku. Hajui kujenga hoja kabisa.
WasakatongeYaani JF imevamiwa na hawa watu hawajui hata kujenga hoja!Ni ushabiki na ukanjanja tu
Hao Watumishi wa Mungu Kama Wange Kuwa Wanasingiziwa Si Wangeshatoa Tamko la Kukana Kuhusishwa na CHADEMA?Mbona Wako Kimya?
nafungua kesi mahakamani kwa kunitukana mimi mwanachama hai wa chadema, nitafika tcra kesho nikiambatanisha na tusi ulilonitukana mimi mwanachama haiKweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana sahau. Baada ya kufeli na kubomoka kwa UKUTA sasa wametunga uongo kuwa Prof. Lipumba amejiunga na ACT- Wazalendo.
CHADEMA hawa hawa wamesahau kuwa mwaka jana 2015 walisema fisadi Lowassa atajiunga na ACT-Wazalendo. Leo wamesahau waliyosema mwaka jana juu ya Lowassa kujiunga na ACT-Wazalendo. Wanachotaka ni kutusahaulisha suala la kufeli na kubomoka kwa UKUTA.
Wamedanganya kuwa waliombwa na viongozi wa dini ili wafanye mazungumzo na Serikali. Ukiwauliza, mbona hatukuona hicho kikao cha CHADEMA na viongozi wa dini?
Je; Mwenyekiti wa kidini na wajumbe wa kidini ni akina nani wanaosimamia majadiliano hayo.
Kweli wanachama na wafuasi wa CHADEMA wana ubongo wa kuku.