Poleni sana CHADEMA.
1. Wamempa Mwenyekiti wenu kesi wanayoita ya uhaini mpaka sasa yupo mahabusu.
2. Wamewafuta baadhi ya viongozi wenu.
3. Wamenyang'anya Ruzuku ya chama na mauza uza mengine mengi mmefanyiwa.
4. Leo wamepiga marufuku shughuli za kisiasa za CHADEMA.
Jipeni moyo. Msikate tamaa. Kuweni imara mara mia zaidi kuliko mlivyokuwa.
Nawahakikishia kuwa, hawataweza kamwe.
Kumbukeni kuwa "kunapokaribia kucha giza huwa nene zaidi"
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuweni tayari kwa lolote. Inawezekana mkafanyiwa makubwa zaidi ya hayo, lakini mwisho wake ni UKOMBOZI kamili wa Nchi hii.
Kwa sasa tengenezeni mtandao maalumu wa kuendeleza mapambano. Tengenezeni underground movement ambayo itakuwa na nguvu mara mia zaidi ya hii iliyokuwa ikiendelea.
Binafsi sikuwahi kufikiri hata kidogo kwamba katika utawala huu tungeweza kufika hapa tulipo. Nilikuwa na matuini makubwa sana, kumbe ni kinyume chake.
Mkono wa Mungu unakwenda kutenda mambo makuu na Watanzania wakuwa wakifurahi.