Muhusika ni mimi na wewe na yule.pole sana kamanda, taarifa imefika nadhani wausika watamsaidia
Kwa taarifa nilizozipata mda huu ni kuwa kamanda Ngowi kapewa rufaa aende KCMC
pole sana kamanda, taarifa imefika nadhani wausika watamsaidia
Tunashukuru kwa Taarifa mkuu,hope wakuu wa chama watalifanyia kazi hilo na sisi wanachama wenzie tutajikuna tunapoweza since # yake iko hapo chini all we can say mpe pole ni msaada atapata mda wowote kuanzia sasa
Muhusika ni mimi na wewe na yule.
Cha msingi ni kupata mawasiiano toka vyanzo vikuu vya chama na kama msaada unahitajika basi chama ndiyo kibebe jukumu hili kwa mpangilio. Pichani ni kamanda Nicco alipotembelewa Hospitali ya Mwananchi Mwanza na Jopo la Kamanda Mawazo wakielekea vitongoji vya Magu.
View attachment 83208View attachment 83209
umeeleweka mkuuNi ukweli usiopingika kuwa wapo vijana wanaojitoa katika ujenzi wa CHADEMA kwa gharama zao na muda wao pasipo kutegemea kulipwa.
Moja kati ya vijana hawa ni Nicholaus Ngowi wengi tukimfaham kama mtoto wa seremala.Huyu ni yule ambaye Lukuvi alimwita Lema alipomuuliza maswali live star tv akitokea Dodoma.
Mpambanaji huyu alijitolea mwenyewe kwa gharama zake kutoka Dodoma kwenda Muleba kusaidia campain za uchaguzi wa vijiji na vitongoji lakini kabla ya kwenda Muleba alifanya mkutano mkubwa sana wa hadhara kata ya kitangiri kwa kushirikiana na Alphonce Mawazo.
Siku moja kabla ya safari yao kwenda Muleba alipata ajali mbaya sana na kiukweli aliumia sana mguu wake wa kushoto na kulazwa hospitali ya Bugando na baadae Mwananchi hapa Mwanza.
Kiukweli nimemtembelea hospilini Mwananchi hali yake ni mbaya sana na anahitaji msaada wa haraka ili kuokoa mguu wake na maisha yake kwa ujumla.
Nilitaka nimpige picha ila alikataa. CHADEMA msaidieni kamanda huyu.namba yake ni 0713014400
ajisaidie mwenyewe. SISI KAMA CHAMA HATUNA FEDHA ZAKUSAIDIA WATU TUNAFEDHA ZA KUKOPESHANA WENYEWE KWA WENYEWE TU KWA AJILI YA KUENDESHA FAMILIA ZETU:cheer2:, nyie wengine jichangisheni zikitimia mkamtibie. PIPOOOZZZZZZZZZZZZZZZZZ.
Pole, hatahivyo kumbuka hawa ni CDM wanatoa msaada wakati wa maandamano yakiisha hawana msaada.
mmh..kuna mkono wa ccm hapo
naona Gamba linakuwasha!!!unaongea kinapenape..mnafiq mkubwaShame on you!!!!!
Tiba