Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
Hivi DR DR DR DR JK juzi kati kabla hajaenda Ethiopia alikuwa anatembeza bakuli nchini kwa nani vile! Nimeona hadi Picha wamepiga na jamaa flani hivi! nadhani ni David Kamerun
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
[/QUOTE
Mbona wao walikuja na sera ambazo zimeuza kila kitu na kuwaacha waTZ masikini na hawasemi kitu? Azungumzie mengine lakini hata akisema maneno hayo anajisumbua tu wala haitomsaidia zaidi ya kuendelea kupoteza heshima yake. Wanaoijuwa CCM wamenyamaza kimya huyo ni kama mbwa tu anayebweka bweka huku anakimbia. Anawabwekea hata wageni wa mwenye mbwa unategemea nini? Nape ameshashindwa anadhani yeye ataweza wapi? CDM for Life.
Nina mashaka kama kweli unafanana na jina lako. Juzi tu Mkuu wa kaya ambaye ni mwenyekigoda wa masikani yenu alikuwa huko kwa Camerun sasa hapo unataka kutuambia nini? Kama ni misaada ya serikali inayoongozwa na Camerun serikali ya Nyinyiem imepokea sana hata kabla ya hiyo CDM kuwepo? Je unatakatuamini kuwa mmekuwa mnafanyiwa hako kamchezo? Hebu weka wazi sio kukurupuka bila kujitazama ulivyo..........Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
Kipi kibaya sasa alicho kisema hapo ili hali CDM wao wenyewe wanajigamba kuwa ni marafiki wa chama cha Camerun? wanajiharibia wao wenyewe na mahusiano waliyo yaanzisha na sasa yanawagharimu. Jirekebisheni watanzania wawaamini kuwa kweli hamtaki kuleta ushoga TZ
Sina hakika,lakini amewahi dai kwamba akienda jimboni kwake Singida,huwa anakodi chumba analala na vijana wanne!! Ilikua kauli tata ambayo kama CCM ingekua bado hai,wakuu wa chama wangeomba ufafanuzi wa kauli yake.Nchemba ni Shoga
kwani uongo? unazani pesa za maandamano wanazopewa toka uk ni bure? Kwani umeshasikia wamekanusha?
Anapenda mambo ya ngono ngono huyu?mzinzi utamjua tu kwa kauli zake,maneno mawili la tatu katoa mfano wa zinaa.