CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

CHADEMA mpuuzeni Mwigulu Nchemba..!

jaxonwaziri

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2010
Posts
375
Reaction score
195
Kuna usemi unaosema hivi:

'Do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'

Na;
'..Dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with experience..'

Kwa mwenye akili timamu anajua ajenda ya Nchemba ndani ya Bunge-kupotosha na kukipaka matope CHADEMA kwa hoja dhaifu,michango yake bungeni imeonesha hivyo na pia imeonesha jinsi gani ni huyu jamaa ni bongolala-matokeo ya mfumo uliomkuza wa CCM. Hana uwezo wa kujenga hoja makini kama Mnyika!

Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe. Hakuna mtu CHADEMA anaeza kutaka kumuua Nchemba! No motive! Nchemba ana nini hata watu makini ndani ya CHADEMA watake auawe? Hana lolote! Angekua mjenga hoja makini labda watu wangedhani ni kwa vile ni mwiba,ila kwa upuuzi ule?

C'mon, CHADEMA has more important matters to attend to! Nawaasa wana CHADEMA, this good-for-nothing Nchemba should not become an agenda in your matters!
 
Wembe uliomnyoa Shibuda utumike huo huo kumdownsize Chemba!
 
Nchemba anaweza kuwa mtaji mzuri sana wa kisiasa wa CHADEMA katika kuwahakikishia wananchi namna gani CCM ilivyofilisika kimawazo kama una mtu anayeomba bunge lisimamishwe shughuli za kitaifa kisa eti kuna watu wamevamia
jimbo lake mtu ambaye akiongozwa na chama chake cha CCM walipinga kusimamisha hoja zingine ili kujadili issue ya vifo
vya wananchi vinavyotokea mahospitalini.

Kwahiyo Nchemba wanaweza wakamtumia kama mdoli wa kuwafundishia CCM siasa za hoja.
 
I'm supporting your strong point ...Nchemba is fasting&finalising CCM's death
 
CCM watapata shida sana na siasa za Nchemba. Atakipeleka hicho chama kaburini.
 
Kuna usemi unaosema hivi:
'Do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'
Na;
'..Dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with experience..'
Kwa mwenye akili timamu anajua ajenda ya Nchemba ndani ya Bunge-kupotosha na kukipaka matope CHADEMA kwa hoja dhaifu,michango yake bungeni imeonesha hivyo na pia imeonesha jinsi gani ni huyu jamaa ni bongolala-matokeo ya mfumo uliomkuza wa CCM. Hana uwezo wa kujenga hoja makini kama Mnyika! Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe. Hakuna mtu CHADEMA anaeza kutaka kumuua Nchemba! No motive! Nchemba ana nini hata watu makini ndani ya CHADEMA watake auawe? Hana lolote! Angekua mjenga hoja makini labda watu wangedhani ni kwa vile ni mwiba,ila kwa upuuzi ule? C'mon, CHADEMA has more important matters to attend to! Nawaasa wana CHADEMA, this good-for-nothing Nchemba should not become an agenda in your matters!

Kipo wapi kitufe cha DISLIKE?
 
CDM huyu nchemba achana naye, msijiweke kubishana na mpuuzi. Mpuuze, hana hoja anayoweza kujenga mbele ya watu ikawa na mshiko. Just ignore him. Ataleteleza kukipa chama chenu mtazamo mbaya!
 
Chadema wanatakiwa Kuachana na Nchemba and his nonsense,why give him such coverage he does't deserve? Mud wa kupambana na Nchemba ni October,2015 but now lets forget that he exist.
 
Kuna usemi unaosema hivi:

'Do not wrestle with a pig, you will both get dirty and the pig likes it'

Na;
'..Dont argue with a fool, he will bring you down to his level and beat you with experience..'

Kwa mwenye akili timamu anajua ajenda ya Nchemba ndani ya Bunge-kupotosha na kukipaka matope CHADEMA kwa hoja dhaifu,michango yake bungeni imeonesha hivyo na pia imeonesha jinsi gani ni huyu jamaa ni bongolala-matokeo ya mfumo uliomkuza wa CCM. Hana uwezo wa kujenga hoja makini kama Mnyika!

Hata hili la kutumiwa sms ya vitisho (kama ni kweli) ni fabricated na yeye mwenyewe. Hakuna mtu CHADEMA anaeza kutaka kumuua Nchemba! No motive! Nchemba ana nini hata watu makini ndani ya CHADEMA watake auawe? Hana lolote! Angekua mjenga hoja makini labda watu wangedhani ni kwa vile ni mwiba,ila kwa upuuzi ule?

C'mon, CHADEMA has more important matters to attend to! Nawaasa wana CHADEMA, this good-for-nothing Nchemba should not become an agenda in your matters!

Tatizo la Chemba ya maji taka ikifumuka ni muhimu kuliziba.
 
CDM wafanye kama walivyommaliza shibuda, bila kumgusa wa kupapasa kajimaliza mwenyewe na sasa haamini kama 2015 hawezi kukubalika Maswa.Nchemba anatakiwa kuachwa kabisa hata akiongea asiwepo wa kumjibu.Tunasubiri ziara ya Dr.Slaa na crew yake, tunaamini yule ni mzee wa busara wana-Ngado watamuelewa vizuri na cdm waibuka kidedea.Nchemba ni mdogo sana kwa siasa za nchi hii wala Dr.SLAA hana haja ya kutamka kitu kinaitwa Nchemba, wana cdm wanatakiwa kulichukulia jina na NCHEMBA sawa na tusi. Ogopeni kulitamka jina hilo liwe kama tusi
 
Nchemba hapaswi Kupuuzwa kwa Kukaa Kimya

Nimeshangaa Spika wa Bunge (Mama kiroboto) ana mpa suport ndani ya bunge , Mwanasheria mkuu nae vile vile , hii nchi yahitaji ukombozi la sivyo tunapoelekea siko.
 
Nchemba? Of all the people? Seriously? Yaani CHADEMA iache kuwafikiria wanasiasa makini kama akina January Makamba na Akina Samuel Sitta, waje wakae na kupanga mauaji ya Nchemba? Nadhani kwa hili, Nchemba na wenzako wenye muono wa hivi mnatakiwa kukiomba CHADEMA radhi kwa kukifikiria kuwa chama hiki MAKINI kinaweza kufanya such a lowly thing kama kumfikiria na kumpangia mikakati Nchemba!
 
CDM,

Nendeni jimboni kwake,
waambieni wananchi,
ukweli wa uwezo wa Mwigulu,
na jinsi ashindwavyo,
kuwawakirisha ipasavyo.
 
Tumekusikia kiukweli hilo ni wazo la kufanyiwa kazi immediately na Uongozi wa Chadema
 
Back
Top Bottom