Umesema viongozi wangu? Sina kiongozi,najiongoza mwenyewe!
Hata wakienda mahakamani itakuwa kazi bure.......tangu lini kesi ya nyani ikashindwa kwenye mahakama ngedere?
Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Inawezekana kabisa. Bado nalilia katiba mpyaNa leo naiskia CJ kawainukia Mahakimu sasa sijui kawabanaje hapo ndiyo sielewi usikute kawaambia kesi zote za serikali lazima serikali ishinde.
Hujui kwa sasa karibu mkuu wa CHADEMA hatakiwi kufanya hata mkutano wa hadhara?.Kwa sasa watu wanapigwa risasi unasema wapige kimyakimya!.Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Mkuu na wewe unazingua...Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Mkuu2015 ndo ilikuwa anguko rasmi la chadema, na mageuzi makubwa ya CCM. wakabadilishana kwa chama tawala kuanza kusimamia agenda ambazo zilikuwa zikiimbwa na vyama vya upinzani, na vyama vya upinzani vikazikana agenda zilzofikisha hapo vilipo. Watu huwa wanakataa lakini ukweli uliowazi demokrasia inayoliliwa na vyama hivi inapaswa kuanzia katika vyama vyao kwanza, laiti kama ubabe na mabavu yasingetumika ninaamini leo hii CUF ingekuwa imara, Chadema ingekuwa imara
Acheni unafiki hao chadema mnataka wafanye miujiza gani? bungeni wanafukuzwa, no mikutano,hatakufanya ibadada, wanazuiwa,labda kilicho baki sasa ni kuliamsha dude.Kama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Inawezekana kabisa. Bado nalilia katiba mpya
Mkuu
Chadema iliondoka na Dr Slaa
Sasa hivi kuna copy tu
yaan CHADEMA ni Kama gari bovuKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Wewe naona umeanza kuzeeka vibaya tena sana wewe huoni mpaka Rais wenu wa TLS ameshambuliwa na risasi baada ya kuongelea ufisadi wa madini halafu IMMA imepigwa bomu halafu bado hujaelewa huu utawala uliopo ni wa namna gani? acha kazi ya uwakili nenda kalime matikitiKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Kwani hivo vijembe wanaviongelea wapi?Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
Eeh eeeh! Taratibu na matumizi ya lugha mkuu!Petro, huwa nakushangaa sometimes! Wewe ni lawyer, inabidi uwe na wider vision kuliko sisi, utupanue! Platform ya kungelea iko wapi? Kila mmoja anakamatwa na polisi, kesi, rumende and the like! Nadhani ungeliongelea namna ya kupata uwanja wa kueleza sera ni upi katika mazingira ya sasa. Kinachofanywa sasa ni kutafuta wapi pa kuongelea. Chase the hyena first , then come to warn the hen about wandering into the forest!..... (chinua achebe) ...kitu kama hicho ingawa not that precise na context ya Chinua. Kama hyena anakula watoto wa kuku, lazima kazi kubwa ni kumfukuza hyena kabla ya kuanza sasa kuhubiri maendeleo ya kuwaokoa watoto. Let us discuss Learned Brother
Badala ya kuandaa submission za mahakamani unakuja na vithread vinavyo fanana na jingalaoKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
Ni Kweli wanazinguaKama chama kikuu cha upinzani nchini, wapenda demokrasia tunawatetea na kuwategemea. Kama chama kikuu cha upinzani nchini,tunatarajia mjipange na kuwinda ushindi mwaka 2020. Lakini,mnazingua.
Kwasasa hamuainishi hoja mnazozisimamia kama ilivyokuwa wakati ule wa kupinga ufisadi. Kwasasa mmekuwa mkiibuka na hoja zinazotokana na yanayosemwa. Yaani,hoja za kudandia. Mnazingua.
Lengeni kuongeza Wabunge na Madiwani mwaka 2020 badala ya kukesha na vijembe twitter,youtube na facebook. Acheni kuyumbayumba na kudaka hoja zisizo na msingi. Mnazingua.
Jipambanueni kwa hoja. Jengeni chama chenu na kuwatumikia wananchi waliowaamini majimboni,katani,vijijini na vitongojini. Hakuna faida ya kubishana kila kukicha na vyombo vya dola na Serikali. Pigeni kimyakimya. Acheni kuzingua!
kwani hivyo vijembe wanaviongelea wapi?Hizo hoja hata wakiwa nazo wataziongelea wapi wakati baba mwenye nyumba kawaziba midomo?
sawa, whatever the interpretation!Eeh eeeh! Taratibu na matumizi ya lugha mkuu!