Uchaguzi 2020 CHADEMA mnatambua wazi mtashindwa Uchaguzi, mmebakiza kuleta visingizio visivyo na mashiko

Nasema leteni pesa ya beberu ikafanye mzunguko hapa kisha mgombea wenu arudi ubelgiji akalipe Madeni huko
Wakati sisi tunaendelea na JPM
Huko Belgium bila wewe kumpiga risasi angekuwa huko? Ushetani wako ndiyo ulisababisha aende huko, CCM mkienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.
 
Kazi ya CCM ya sasa ni hujuma kuwadhoofisha upinzani hususani chadema na pia ACT, kuna upumbavu umeibuka eti neno kupita bila kupingwa, huu ujinga wa kupita bila kupingwa ndiyo utaleta wabunge vilaza wagonga meza kwa maneno ya ndiyooo, kila kitu ndiyooo, kutunga kupitisha Sheria mbovu, mikataba ya hovyo kwa wingi wao Bungeni.
 
ccm kwa kura halali shindeni tu ila bao la mkono kwa Lissu hapatatosha, wasiojulikana watajulikana.
 
Ni wizi wa kura pekee unaweza kuivusha CCM, lakini uchaguzi huru na haki CCM hana chake
Mnasingizia wizi wa kura,bure tu wakati hata kujaza fomu tu tatizo. Chadema ilikuwa Enzi za kina slaa, hii ya sasa waganga njaa tu. Watanzania wameshastukia janja zenu. Magufuli, tano tena.
 
Back
Top Bottom