Mkuu sio kwamba Chadema imelala
Ila Chadema imekufa, vijana Wengi wameridhishwa na uchapakazi wa Magufuli ndio maana huoni bla bla mtandaoni
Drake aliwahi kuimba, "..Why you keep on shooting if you know that nigga is dead..?"Mkuu sio kwamba Chadema imelala
Ila Chadema imekufa, vijana Wengi wameridhishwa na uchapakazi wa Magufuli ndio maana huoni bla bla mtandaoni
Ingekuwa imekufa polisi wangehangaika hivyo akili zako ndogo sanaMkuu sio kwamba Chadema imelala
Ila Chadema imekufa, vijana Wengi wameridhishwa na uchapakazi wa Magufuli ndio maana huoni bla bla mtandaoni
Chadema haijafa bali itakufa kama isipojitibu. Inatakiwa kuimarisha propaganda kwenye media badala ya kutegemea tweet za Lema Hilda Newton hao kina Mdude na Halima. Lazima kuwe na mifumo ya content na direction.Kwa hiyo Chadema haijafa mkuu?
CCM wananufaika sana na uwepo wa hao munaowaita wajinga ambao mtandao wao ni facebook. Kura ya Professor ni sawa na kura ya mjinga au mpumbavu mmoja huko Tandale Manyoni Newala au Ngarenaro. Chadema wagharamie.Media zipi unasema wakati ccm nichama cha watu wakijijini wasiojuwa kusoma na kuandika. ..hapa Tz hakuna chama chenye watu wajinga kama ccm ...Hata Nyalali hilo miaka ya 1990+
Kuna wakati hata kigogo anapigana vita ya kiharakati na sio CHADEMA.
Kwani kigogo ni mwanachama au kiongozi wa chadema? Sasa anahisikaje na CDM?Chadema haijafa bali itakufa kama isipojitibu. Inatakiwa kuimarisha propaganda kwenye media badala ya kutegemea tweet za Lema Hilda Newton hao kina Mdude na Halima. Lazima kuwe na mifumo ya content na direction.Kwamba wiki hii tunapost kulenga jambo gani, tunaandikaje,nk .Chadema isije tegemea Kigogo atawajeuka. Pia makosa ya Kigogo yasijekuigharimu Chadema kama chama.