Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
Hahaha hahaha hahaha magamba ni chama kinacho endeshwa katika misingi ya ubakaji wa wasichana chini ya miaka 18...wizi, ufisadi, rushwa , uongo, umbeya , unafiki, uchawi na uzandiki.Hahahahahahahahahaha
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Bwana eeh. Hata Mobutu, Banda na Idd Amin waliwahi kuwa wakombozi Wakati fulani. Bokassa pia. Amini usiamini, Chadema pia ni wakombozi. Sijui wanamkomboa nani lakini ni wakombozi. Hii ni Africa na wao ni waafrika.
DUH. Imagine kukombolewa na Lema. Eeh Mungu tunusuru.
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
Bwana eeh. Hata Mobutu, Banda na Idd Amin waliwahi kuwa wakombozi Wakati fulani. Bokassa pia. Amini usiamini, Chadema pia ni wakombozi. Sijui wanamkomboa nani lakini ni wakombozi. Hii ni Africa na wao ni waafrika.
DUH. Imagine kukombolewa na Lema. Eeh Mungu tunusuru.
Bwana eeh. Hata Mobutu, Banda na Idd Amin waliwahi kuwa wakombozi Wakati fulani. Bokassa pia. Amini usiamini, Chadema pia ni wakombozi. Sijui wanamkomboa nani lakini ni wakombozi. Hii ni Africa na wao ni waafrika.
DUH.
Hata Rhodesia ilikuwa nchi huru chini ya rais Smith na chama chake, lakini kina Mgabe hawakuuona uhuru huo wakaanza mikakati ya kuwakomboa. Tofauti ya uhuru wa Rhodesia na wa sisi hapa sio kubwa. Smith alikuwa mzungu akimiliki sehemu kubwa ya uchumi na wazungu wenzake kukiwamo ardhi, madini, siasa, maliasili, nk... Kwetu walio waswahili wenzetu utakuta uchumi umekaa kifamilia kadhaa na sheria zimewekwa kulinda hilo milele mgongoni mwa CCM mfano sheria ya mikopo kwa elimu ya juu na sera ya elimu kwa ujumla. Jiulize hawa akina Rostam ktk harakati zao kupanga safu za uongozi wa nchi huwa wanamfikiria mkulima wa Karagwe? Ebu tofautisha wao na Mengi. Jiulize kwnn Kambarage alijitosa kuwasaidia kina MUGABE? Kama CCM ndani ya miaka 52 ni SMITH, kwnn tusijaribu CDM?
Au Slaa!
Majanga.
Hiki chama kila siku kinajipambanua kuwa kipo kwa ajili cha kumkomboa mtanzania.Hii ni fedheha kubwa kwa umma wa tanzania na asiyekifahamu vizuri hiki chama ni wa kuonea huruma sana sana.Chama hiki kina wenyewe na ni kama biashara tu kama biashara zingine, cha ajabu sana watu tunaowaita eti wasomi kama akina kitila mkumbo nao wamekubali kuingia ktk mtego huu wa ajabu! Nikiambiwa kuchagua kati ya shetani na chadema,bora shetani kuliko chadema chama hatari kwa mustakabali wa Tanzania
CDM mwisho wao 2015 kwani baada ya hapo hakitakuwepo kwenye ramani! Maana hawataamini kitakachotokea!