NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Ila UKAWA wana roho ngumu! Bado wanajipa moyo kwamba watashinda! Wamesahau Lubuva bado hajaangusha ngoma ya Mwanza, Simiyu, Geita, shinyanga, Kahama, Kagera, Tabora...
CCM ni Chama makini na kina viongozi na sio CHAGADEMA. Hivi hicho ni chama cha watu au cha mtu?Inanisikitisha sana kwa chadema kutojipanga, ni kwamba haitoi taarifa zake kwa wakati. Makamba amewazidi sana. Kumruhusu mgombea kuongea na waandishi wa habari hakuna tija. Mmekuwa mkiwaachia maswali wanachama wenu mpaka majibu wayapate basi inakuwa too late.mbadilike nafasi bado mnayo ya kushinda huu uchaguzi
Kiongozi, jamaa wa Guinea tuliwaambie, hiyo tabia ya kuetengeza mafurko itawamaliza mapemaa sana hawakusikia, yaani hata Kikwete alisema kuwa mafuriko ya Chagadema ni ya kutengeneza wakafiria ni mchezo. Sasa wapo kimyaaa kama vile hawakuwai ishi. MweeeeeWazee wa guinea mpo??
Halafu leo lowassa kapiga jezi ya chama tawala!
Polisi wamevamia tallying center zao zote na kukamata kompyuta zao zote....au we husikilizi habari?Inanisikitisha sana kwa chadema kutojipanga, ni kwamba haitoi taarifa zake kwa wakati. Makamba amewazidi sana. Kumruhusu mgombea kuongea na waandishi wa habari hakuna tija. Mmekuwa mkiwaachia maswali wanachama wenu mpaka majibu wayapate basi inakuwa too late.mbadilike nafasi bado mnayo ya kushinda huu uchaguzi
Nilisema tuta shut down kituo chao uchwara cha kutoa matokeo feki..jamaa wananyea debe hawatoki mpaka magufuli atangazwe.kuna mtu kamuona yerico nyerere humu?
Lowasa hana tofauti na Juma Nature, watu wanajaa kwenye show lakini album hauzi
Ila UKAWA wana roho ngumu! Bado wanajipa moyo kwamba watashinda! Wamesahau Lubuva bado hajaangusha ngoma ya Mwanza, Simiyu, Geita, shinyanga, Kahama, Kagera, Tabora...
Niende wapi mkuu wakati nishamaliza kukusanya matokeo?
Inanisikitisha sana kwa chadema kutojipanga, ni kwamba haitoi taarifa zake kwa wakati. Makamba amewazidi sana. Kumruhusu mgombea kuongea na waandishi wa habari hakuna tija. Mmekuwa mkiwaachia maswali wanachama wenu mpaka majibu wayapate basi inakuwa too late.mbadilike nafasi bado mnayo ya kushinda huu uchaguzi
Enheee tupe matokeo yenu mkuu....