Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,283
Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!Wenye tamaa wameitumia sana chadema. Siyo kweli kwamba unaweza kuhama vyama tu kama vile ni club ya mpira ama ngoma ya mdundiko! Vyama vinajengwa kwa falsafa nk. Ni mambo mengi yanayomfanya mtu kuwa mwananchama wa chama Fulani, especially vya kisiasa! Kuna kada wa ccm aligusia hilo, na mimi nakubaliana na baadhi ya hoja zake. Hata Dr. Slaa nilishangazwa sana na hatua yake!Nikaweza kuconclude moja kwa moja kuwa wengi wameitumia chadema kwa maslahi yao binafsi…Hilo nina ushahidi nalo wa mojakwa moja!
Kuna sehemu ambazo hata kama ukiweka jiwe, almuradi ni chadema litapita.Kuna waliotake advantage ya hiyo kitu ili tu wapate kura za wananchi, lakini ndani ya mioyo yao ni wanafski na walafi wa madaraka! Stori utakazosikia wakipiga ni kiasi gani cha pesa watapata wakigombea either udiwani au ubunge! Wajinga wengine utasikia eti “Ilipangwa toka tumboni aitwe muheshimiwa”, huyu ni mpumbavu ambaye alikuwa akimtetea yile Mwita aliyejitoa halafu akapewa cheo na jiwe! CDM sijui mtajipanga vipi kuwatambuwa hao watu? Ili msirudie makossa?Mimi nadhani mlishaanza vibaya! Mliwafuatiliza sana ccm, na kwasababu kulikuwa na upepo wa wananchi kuwapenda, mkajisahau, mkaachia hadi mafisi ndani yenye tamaa tu za madaraka!
Wameitumia chadema kwasababu ninaamini wasingeweza kupata nafasi walizonazo wala kukubalika na wananchi kama wangeenda kwa gia ya ccm! Kwanza wasingepata hata hiyo nafasi ya kugombea chochote! Kupewa kwao nafasi baada ya kujindoa chadema, kunaonyesha wazi kuwa walikuwa ndani ya chama kwa maslahi yao binafsi kama vile uongozi, pesa nk. Hakuna mzalendo hata mmoja! Dr. Slaa ambaye ndo nilikuwa nikimuamini Zaidi kwa uzalendo, ndiye aliyenithibitishia hoja yangu kabisa! Lakini chadema ni taaisi imara kabisa!
Kwanini nasema ni taasisi imara?
Baada ya misukosuko yote, kuanzia mkuu wa nchi kuminya demokrasia ikiwa ni pamoja na kuwakataza chadema na upizani kwa ujumla wasifanye shghuli za kisiasa hadi wakati wa uchaguzi, na wakati wao wakiendelea na siasa ni jambo la ajabu sana! Hata rais Obama alizungumzia hilo jambo la kuminya demokrasia kwa kuwaweka wapinzania ndani au kuwakataza kufanya shghuli za kisiasa, huku wakidai kwamba kuna uchaguzi huru na demokrasi! Uongo mtupu! Pamoja na hayo yote, chadema haijafa!
Baada ya kuona ndoto yao ya chadema kufa haijatimia, eti wanjifanya sasa wao ndo washauri wakuu wa kusema eti mwenyekiti hafai! Kama mngeweza kuiuwa chadema ndo mngekuja na hiyo hoja, mmeshindwa, sasa ni kama mnaomba poo kiaina! Hata Urusi ilikuwa wamuondoe Putin madarakani, shida ilikuja pale wananchi walipoona marekani wanafurahia!Wakaona hadi yule mama Clinton akiwasapoti hao wanaonyanyaswa na Putin! Pamoja na kwamba waliona ni kweli Putin ni dikteta, bado walikuwa na mashaka kwasababu marekani nao wanamuona Putin kuwa ni mbaya! Hayohayo ymeshatokea kule Iran! Wale wananchi wamechishwa na mahayatollah, lakini shida ni mmarekani, haijalishi uzuri wa jambo lile au manufaa yake kwa hao wananchi, kama linasapotiwa na adui wako, hilo ni jambo la kutizama kwa jicho la tatu! Halafu humu wasiojielewa, au wenye kumbukumbu fupi, wanaleta hoja za kuwa Mbowe ajiuzulu.Mimi naon ni kama wajinga waliobobea kwenye ujinga wao!
Mnachotakiwa kufanya, muiuwe chadema ili wanachama wake waone kuwa mwenyekiti wao hafai kwasababu chama kimekufa. Sasa mmeshindwa kuiuwa chadema, mnakuja na hadithi za kitoto kabisa! Fuatilia mifano niliyokupa kuhusu "Adui kukutakia mema", hata kama ni mema kweli, kama adui anafurahia, inaleta ukakasi!Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
Gia ya angani ndiyo chanzo cha yoote haya.Ili msirudie makossa?Mimi nadhani mlishaanza vibaya!
Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
Ndiyo maana nikasema hawakujuwa nia za hao wanaohamia!That was a mistake!Wahamiaji wote na wengine ambao tayari walikuwemo, shida yao kuu ilikuwa ni maslahi binafsi, yani madaraka na pengine ili wafanye ufisadi! Hata bila gia ya angani, tayari chadema ilikuwa imeshaanza kutumika kwasababu ya umaarufu wake kwa wananchi! Hakuna hata mmojawao angeweza kupata nafasi kupitia ccm.Gia ya angani ndiyo chanzo cha yoote haya.
CDM haifi mkuu!Hizo kelele zao dhidi ya Mbowe, inaonyesha plan A haikufanya kazi, sasa eti wanajidai kutoa ushauri😎Umejaribu kutafiti CHADEMA kilikuwa na hali gani alipokichukua hadi leo na kuwa adui namba moja wa CCM? Na je unajua ni nguvu ya kiasi gani CCM inatumia kujaribu kukidhoofisha?
Hakuna anayeiua chadema zaidi imejiua yenyewe, fikiria miaka 20 haina ofisi eti leo ipewe nchi??Mnachotakiwa kufanya, muiuwe chadema ili wanachama wake waone kuwa mwenyekiti wao hafai kwasababu chama kimekufa. Sasa mmeshindwa kiiuwa chadema, mnakuja na hadithi za kitoto kabisa! Fuatilia mifano niliyokupa kuhusu "Adui kukutakia mema", hata kama ni mema kweli, kama adui anafurahia, inaleta ukakasi! Nchi nyingi sana ambazo hazifuati demokrasia, zimefika hapo kwasababu hii. Kwamfano warusi walikuwa na nafasi kubwa sana ya kumuondoa Putin, lakini shida ni kwasababu mmarekani naye alikuwa akifurahia! Sasa sidhani kama wazo ambalo linasapotiwa na ccm kuhusu chadema litapa sapoti. Ukakasi mwingi!Leo unipige risasi, halafu kesho unipe ushauri namna ya kuishi? Ntakuwa mpinzani au kibaraka wako? Nchi inajengwa kwa mawazo tofauti.
Huu mtindo wa wabunge wa chadema kuhama kuhqmia ccm umebomoa morali na moyo wa wanachadema kukipigania chama na kulinda kuraNdiyo maana nikasema hawakujuwa nia za hao wanaohamia!That was a mistake!Wahamiaji wote na wengine ambao tayari walikuwemo, shida yao kuu ilikuwa ni maslahi binafsi, yani madaraka na pengine ili wafanye ufisadi! Hata bila gia ya angani, tayari chadema ilikuwa imeshaanza kutumika kwasababu ya umaarufu wake kwa wananchi! Hakuna hata mmojawao angeweza kupata nafasi kupitia ccm.
najaribu kufikiria ni akili gani aliyo nayo mtu aliyekupa like sipati jibuUbapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
nadhani tangia mfumo wa vyama vingi haijawahi kutokea mbunge anahama chama kabla ya uchaguzi-hii imetoka kwa malaika magufuliHuu mtindo wa wabunge wa chadema kuhama kuhqmia ccm umebomoa morali na moyo wa wanachadema kukipigania chama na kulinda kuraraa
Imekatisha tamaa sana na ndoto za cijana wengi wa upinzani. Jqpo jpm anatumia njiq haramu kufanikisha haya, lkn swali ni kwamba kwann wabunge wa chadema hawana ujasiri wa kusimamia misimqmo yao (imani za vyama vyqo)?nadhani tangia mfumo wa vyama vingi haijawahi kutokea mbunge anahama chama kabla ya uchaguzi-hii imetoka kwa malaika magufuli
Imejiuwa yenyewe na wakati mnahonga viongozi na wanachama wao ili wahamie ccm? Eti ofisi, mbona wapigania uhuru wengi tu walikaa porini pamoja na misaada waliyopata? Kama hauamini mabadiliko, hauwezi kuelewa nachosema. Hata hao wengine wengi tu walienda chadema kwasababu ya umarufu wake! Ni mwisho wa chadema kukubali kutumika na mafisi.Big mind said:Hakuna anayeiua chadema zaidi imejiua yenyewe, fikiria miaka 20 haina ofisi eti leo ipewe nchi??
Hizo pesa kwa chama kikubwa kama kile si chochote. Kwaza ruzuku ipo kisheria kwasababu katiba inatambuwa uwepoi wa vyama vingi!Katiba haitambui ufisadi wa ccm ambao hizo milioni 270 ni kama peanut tu.Chadema inalamba zaidi ya 270miln kwa mwezi ruzuku hizo pesa matumizi yake hayaeleweki zaidi ya kuwa na fojari nyaraka.
Walifanya makosa, lakini haijustify lolote unalotaka kusema! Hata Lowassa si alihamia ili awe rais? Kama hao wengine ambao wamepewa ubalozi na ukuu wa wilaya? Sasa hao si akili fupi?Waliokuwa wakidanganya wananchi kuwa eti ni wazalendo?Chadema 2015, kama chama kikuu cha upinzani hakikuwa na mgombea eti walijiunga UKAWA kumsindikiza Lowassa kumbuka UKAWA siyo chama cha siasa na hawajawahi kuwa ba lengo la kisiasa ujanjaujana mwisho wake ndiyo huo.
Acha uongo wewe!Si waende ccm huko hao wasomi kama watapata hiyo nafasi!Si wamesikika kwasababu walikuwa chadema? Soma uelewe bandiko langu!Chadema kama chama cha siasa hakiwezi kutumia fursa adhimu kabisa ya vijana tena wasomi na weledi badala yake viongozi wameishia kuwatumia kwa maslahi yao na kuwatupa kama kondom.
Kama hana akili kwanini mnawaomba na kwashawishi wananchama wake wamuondoe kwenye uenyekiti? Kwanini mnawatakia adui wenu mema?Ili iweje?UKAKASII!Chadema hawahawa eti chama kichukue nchi kwa hoja za kitoto kitoto, ni kweli ccm tuna mapungufu lakini si kiasi cha kuzidiwa na chadema. Mbowe hana akili ya kutosha kupambana na siye majasusi wa siasa huku ccm tunatumia akili kubwa mno rafiki yangu.
Hivi mungekuwa na akili msijipange tangu 2015, muanguke na mzee lowassa mliyemkuta kaishiwa pumzi mnangoja 2020 mzinduke kama misukule eti mnataka nchi sahau, hapa najua utapiga kelele eti mikutano imekatazwa ndiyo siasa siyo mikutano kila siku jipange fanyeni vikao na mipango ata CCM hatuna mikutano kila siku. Shida yenu mpate majukwaa ya kutukana.
Ndio lengo la akili ndogo ya polepole aliyefeli Benjamini Mkapa sec , hata hivyo ameshindwa vibaya sana !Huu mtindo wa wabunge wa chadema kuhama kuhqmia ccm umebomoa morali na moyo wa wanachadema kukipigania chama na kulinda kura
This is a problem, lakini siyo confirmation kuwa chadema inakufa ama imekufa!Morality fluctuations zitakuwepo, sisi ni binadamu ambao siyo perfect hata kidogo na hatufanani!Huu mtindo wa wabunge wa chadema kuhama kuhqmia ccm umebomoa morali na moyo wa wanachadema kukipigania chama na kulinda kura
Ungeendelea kuandika kiswahili ungeeleweka zaidi kuliko upupu ulioandika hapo chini.Ubapokuwa na chama kinaongozwa na Mbowe eti kisa anamsimamo, hana ata falsafa ya kujua imani/itikadi ni nini ata maono ya chama afu ndiyo aendeshe jahazi utajikuta unaenda pemba unatokezea msumbiji..!
Poor oppositional, let CCM led because it deserve for the presnt time..!
Sawa mkuu! Sante kwa kunikosoa uungwana vitendoUngeendelea kuandika kiswahili ungeeleweka zaidi kuliko upupu ulioandika hapo chini.
Kwasababu wanaitumia tu chadema kama ngazi ya maslahi yao binafsi!Huwezi kuhama hama chama kama uko kwenye ngoma ya mdundiko, hata washabiki wa mpira wanawashinda? Utaona ukweli! Wenye nia ya kukomboa nchi, wako radhi wafe hadi ukombozi upatikane, hata kama siyo kwenye kipindi cha maisha yao! Eti mara ooh ruzuku, sijui wamepewa tujivyeo twa ukuu wa wilaya na vimilioni viwili vitatu wamelainika!Wapo kama hao, lakini wazalendo wa kweli wako pia vilevile.Imekatisha tamaa sana na ndoto za cijana wengi wa upinzani. Jqpo jpm anatumia njiq haramu kufanikisha haya, lkn swali ni kwamba kwann wabunge wa chadema hawana ujasiri wa kusimamia misimqmo yao (imani za vyama vyqo)?
CDM haifi mkuu!Hizo kelele zao dhidi ya Mbowe, inaonyesha plan A haikufanya kazi, sasa eti wanajidai kutoa ushauri😎