Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Kwa mambo jinsi yanavyoenda ndani ya Ukawa na fununu zilizopo juu ya huo Muungano sina budi kusema kwamba Chadema mmeingia choo cha kike.
Nasema hivo sababu mmetumia nguvu nyingi kujenga chama na sasa chama kinafahamika mpka kule litokela kwa bibi yangu.Hakika nguvu yenu ni kubwa sana lakini kwa hali ilivyo sasa nahisi mtapoteza nguvu na uaminifu mlionao kwa watu kama mtashindwa kutoka hapa.
Mwaka huu Chadema ulikua mwaka wenu bila ukawa wala nguvu ya chama chochote kile mngechukua majimbo mengi sana na madiwani wa kumwaga. Ila kwa mtindo huu ambao mliufanya sijui bila kuangalia madhara yake ya sasa utawaangusha.
Tuko Makini zaidi ya wakati wowote Mkuu...
Nakuomba uendelee kutega sikio....
Tunajua kuungana ilikuwa ni hitaji la Watanzania halikuwa la Chadema sisi Hatukutaka kuwaangusha wananchi..
Nikuhakikishie tu kuwa tuko makink zaidi ya wakati wowote ule..
Tunaomba support yako