Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,
mahakama ishapiga ugokoni suburi baraza kuu litaipiga kamati kuu za uso na mbowe kuchezea kichapo aeleze anahusika vp na mmbo ya totoz
maccm yanaona mpango wao wa kuua cdm umebuma baada ya kuona zzk anaelekea kufukuzwa na hakuna athali yoyote ambayo cdm itapata kwa kumfukuza zzk, wamemshauli kwenda mahakaman but what we know iwe jua au mvua zzk lazima afukuzwe...
Ni haki yake ya Kikatiba, hata wewe unaweza zunguka dunia nzima, so longer ona VIZA ya kuingilia nchi za watu.
Anyway, Baraza la Mawaziri linavunjwa, wee lia na Zitto tu. PM wa tatu anaingia soon.
Mkuu kama ni hivyo,mbona ZZK kwenda kwao kigoma lile suala liliwauma sana watu ambao walimuonea kwa kumfanyia maamuzi mabovu?
Kwa mfano unaweza kushauriwa na illiterate aliyejijengea aura ya digrii outdated kuwa ni mtaalamu wa migogoro halafu ukikubali ushauri wa mtu huyo ambaye hajawahi kusuluhisha mgogoro hata wa ukoo utakua outdated.Zamani kwenye vikao vya au semina za watu wenye hulka hizi nilikua natoka nje.
Acha woga mgogoro huu unakomaza chama. Ni kipimo kizuri kama cdm inaweza kuchukua maamuzi magumu
Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,
Ndo kingererza gani hicho ss au ndo hizi shule za ahsante Lowassa? Anyway tumekusikia. Tutazingatia ushauri wako. Mm ndo Mbowe sawa?Niliwahi kushauri viongozi wa chadema na si mm hata viongozi wa juu ndani ya chadema mfano ni PROF BAREGU alitoa ushauri mzuri kwa viongozi wa juu pamoja na kamati kuu chadema kwamba suala la migogoro ni vema ingesuluhishwa mapema ili kuepusha vurugu ndani ya chama kwani kuna uchaguzi wa ndani ya chama, vilevile 2014 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha 2015 uchaguzi mkuu.
Kuingia kwenye uchaguzi huku kuna migogoro bila shaka watu wanajua vita vya panzi ni neema kwa kunguru. unapokuwa mwanasiasa unatakiwa kufanya political calculations.
sasa hembu angalia.
sipendi kuingilia uhuru wa mahakama lakini kimsingi suala likishafika mahakamani hushukua mda mrefu kutatua mfano mzuri ni suala la mh KAFULILA NA MH AHMAD RASHID. hili bila shaka yoyote mpk 2015 litaleta damage kubwa ndani ya chama when u like or not but reality it is.
NAONA CHADEMA kama ni mchezo wa karata watakua wamelamba mavi.
Nawasilisha,
Binafsi! Niliiona CDM ina nguvu kwa sbb ya ZZT na Mnyika, na dr. Slaa kipindi akiwepo bungeni sio ss, ss kwa kumuondoa ZZK na Mnyika kuangukia upande wa Mbowe naona CDM inapoteza muelekeo!
Manake yoyte anayejua siasa anajua Mbowe ni mfanyabiashara na sio mwanasiasa, Ss kwa vichwa vyote kuwa na mawazo ya Mbowe kunanipa wasiwasi na dhamira yao! Wako kwa maslahi ya Chama (I mean wananchi) au wako kibiashara kama Boss wao.
Kwa kweli hapa, ni kusubri na kuona! ila naamini mgogoro huu utapoteza wanachama wengi sana chadema! Ukiacha wale wapenzi wa ZZK, na wale ambao wanakuwaga na direction kipindi cha uchaguzi ila pia wale wenye kuweka kumbukumbu na wenye kufikiri ambao huwa wana ushawishi kubwa kwa family members wengine!
Kama ni karata naamini hili ni Garasa! unless waact very fast kuresolve hii situation