CHADEMA Mkwawa wajiunga na CHASO

CHADEMA Mkwawa wajiunga na CHASO

paul nsangu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
179
Reaction score
32
Ndugu wanajamvi,

Napenda kuwajuza kuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ktk chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa hii leo wamekubaliana kwa kauli moja ya kujiunga na shirikisho la wanachama wa CHADEMA wanao soma vyuo vikuu hapa nchini kwa kifupi CHASO.CHASO ktk mkoa wa Iringa inashirikisha vyuo vya Mkwawa,RUCO na Tumaini.

Hivi karibuni kulizuka sintofaham baina ya wanachama wa CHADEMA Mkwawa kuhusu muundo wa shirikisho hilo,hata hivyo ktk kikao cha leo wanachama wa chama cha demokrasia Mkwawa wamekubaliana kujiunga na shirikisho hilo ikwa nikuonyesha ukomavu wa kisiasa na kuimarisha zaidi dhana ya CHADEMA ya utawala wa majimbo itakayo tekelezwa kuanzia mwaka 2015 pale dola itakapokuwa mikononi mwa CHADEMA.

Katika hatua nyingine katibu mwenezi wa chama Tawi la Mkwawa alipokuwa akisoma ripoti ya chama aliwambia wanachama kuwa,CHADEMA sasa Mkwawa inaimarika kila kukicha idadi kubwa ya wanachama wamekuwa wakiongezeka nakufanya chama kizidi kuwa na nguvu.

Ndugu wanajumvi ni mtaji mkubwa sana kwa CHADEMA kuona jamii ya wasomi hususa ni waalimu wanao deal na kizazi cha kesho wanajiunga na jeshi la ukombozi.

VIVA CHADEMA.
 
Kuweni makini na vijana wachumia matumbo kwani huko ni moja ya njia wanazopanga kutokea, kuweni makini pia na kutoa matamko yasiyo na tija katika ustawi wa tawi lenu na CDM kwa ujumla.

Mtela Mwampamba na Shonza wanatafuta sana vijana wa kuwaunga mkono so na amini nyinyi hamtaingia kwenye mtego wao.

Nawatakieni mapambano yenye maono.
 
Vijana tusirudi nyuma,ukombozi utapatikana.ni heri tufe na njaa zetu,kuliko shibe ya siku moja ya ulaghai wa ccm!
 
Wewe umesoma?? Uko makini au unachumia tumbo?? Magamba filamu zenu hazina soko.

Vijana zingatieni masomi. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa.

Muasisi wa chadema Mzee Mtei alikataa kushiriki harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Sababu anayotoa ni kwamba alikuwa hataki kudisturb masomo yake ya chuo kikuu. Sasa nyinyi anawadanganya mdisturb masomo yenu, ili yeye ajipatie ruzuku kwenye chama chake.

Ukifeli, wa kwanza kuathirika na hasara ni wewe na familia yako.
 
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...

Kelele za chura! Hivi wewe unajua maana ya elimu? Atleast hawa vijana wanaonyesha there social function kama vijana, na siyo kama wasomi, kwa sababu usomi ni kitu kingine kabisa hapa.

Sasa unaweza kuniambia what is the social function of an educated person in our society? Kwa mfano, wewe ni architech, what is the social function of your architech apart from kugonga mihuri ya michoro uliyo desa?

Nachotaka ni kwambia ndugu yangu, swala la elimu ya mtu najinsi huyo mtu au kikundi cha watu wanavyoitumia varies so much in african society, too dynamic, and too misallocated, and so is and should be a mattter of debate

African are so misinformed about so many things that are going on in this world.

Waache vijana wapiganie haki zao wanazoona wanastahili.
 
Waache vijana wapiganie haki zao wanazoona wanastahili
.

Haki yao ya kwanza ni kutafuta elimu ya chuo kikuu. Hicho ndicho kilichowaweka hapo chuoni. Haya mambo ya kumtafutia Dr. Slaa pesa za kujikopesha wakilifanya muhimu kuliko masomo yao WATAPOTEA na baadae wataishia KUJUTA...
 
Sasa hiyo elimu itawasaidia nini kama hakuna miundombinu mizuri ya kuexploit fully. Ili wao waweze kuthrive vizuri pindi watakapohitimu au pindi wadogo wa wadogo zao watakapo hitimu, ni lazima hili lifanyike either sasa au baadae, lakini lazima lifanyike.

Tatizo lako unaona maisha just two miles away in your neighborhood, life goes on and on and on, at least you should be able to think about your three genenrations from now.
 
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...

ccm kwenda kufanya mikutano na kufungua matawi vyuoni ni sawa ila chedema sio sawa.kumbuka mwenyekiti wenu ndg jk alichangiwa fedha za fomu ya urais na wanavyuo wa mlimani!
 
Wengi wao hadi wanafika chuo huwa hawajijui wanataka kusomea nini na wakimaliza chuo waelekee wapi.
 
Back
Top Bottom