mpole1
Senior Member
- Dec 19, 2012
- 149
- 46
Mtu huwezi kuwa 100% perfect, mpaka hapa CHADEMA kilipofikia kinahitaji PONGEZI za dhati kabisa, kwani kimepitia kwenye dhoruba nyingi sana mpaka kufikia hapo kilipo, lakini kama kuna mapungufu ambayo unayaona tafadhali usisite, toa ripoti mahala husika ili hatua zaidi zichukuliwe. Ahsante.