CHADEMA mkisusa uchaguzi Sisi Twala

CHADEMA mkisusa uchaguzi Sisi Twala

Sio CHADEMA tu itasusa, vyama vingine vyote vikubwa havisaini mpaka reforms zifanyike na ndio NO REFORM NO ELECTION yenyewe!
 
Endeleeni na drama zenu huko Rumande. Sisi Veggies Twala MEMA ya uchaguzi. Tukutane 2030 panapo majaliwa.
Mwaka huu wajinga watakwenda kuchagua viongozi wajinga sana. Wenye akili timamu tutakuwa pembeni tunawapiga mipini mpaka Mungu aamue ugomvi kama ule wa Shetani jiwe
 
Endeleeni na drama zenu huko Rumande. Sisi Veggies Twala MEMA ya uchaguzi. Tukutane 2030 panapo majaliwa.
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini Jiwe alipofariki kuna watu walifanya sherehe? Au uliwahi kujiuliza ni kwa nini waaasi wa M23 walipouteka mji wa Goma kule DRC, maelfu ya wakazi wa huo mni walijitokeza kuwalaki na pia kuhudhuria mkutano wao wa hadara?

Moja ya sababu huwa kama hizi! Dharau, kejeli, kiburi, uonevu, dhuluma, mateso, mauaji, nk. kutoka kwa watawala.
 
Back
Top Bottom