CHADEMA mjitafakari kwa hili

Mkuu, kwani Tanzania Daima lipo wapi?
 
Yani waache kutafuna rudhuku wafungue TV?
Wenzio hata magari ya chama,kadi zinasoma majina yao.
Wanaikopesha chama kwa riba,wanajilipa posho na mishahara watakavyo kwa fedha ya chama.

Hata jengo la ofisi tu wameshindwa kujenga.

Ndo mana watu wakisema hicho ni KISACCOS muelewe
 
KUWA NA UMMA UNAOKUAMINI NDO KITU PEKEEE YAHA YA VYOMBO VYA HABARI NI KZ YA UMMA KUTAFUTA HABARI NA WANAJUA SANA HABARI ZA CDM NANLISU ZIKO KILA KONA YA NCHI HII WATU WANA SMART PHONE takribann43%
 
nina kila sababu ya kuamini Tumaini makene anatumika kuhujumu CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…