Mwanayunge
New Member
- Apr 1, 2012
- 2
- 0
Mh!! Tutashuhudia mengi mwaka ujaowana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha m/kiti BAVICHA mkoa ndg KASAMBALA uongozi 3rd kamati ya uchunguzu ili kuwabaini wale wote wanaotuhumiwa kukichafua CHAMA na viongozi nao watimuliwe ktk CHAMA. IKUMBUKWE kuwa EDO ndiye aliyekwenda kwny MEDIA kumtaka Dr SLAA ajiuzuru kwa kuwa na kadi mbili na ni mwanakundi la MASALIA na Kasambala naye anatuhumiwa kuwa mfuasi wa hilo kundi.
na hiyo ndiyo 7bu kubwa ya kusimamishwa kwake,ikiambatana na ufisadi mkubwa!Bora wangekuwa na uwezo hata wa kujenga hoja jukwaani,nimepata kuhudhuria mkutano mmoja ambao kasambala aliuandaa pale SIDO na kuwakaribisha hao jamaa ati wanajitambulisha ni makamanda kutoka CDM taifa,mkutano mzima,toka wa kwanza mpaka wa mwisho aliyepewa nafasi ilikuwa kunangana tuu hasa viongozi wa kitaifa.sishangai kusimamishwa na wengine kufukuzwa
Upinzani sio CHADEMA tu hata ADC, CHAUMMA, CUF nk. ni wapinzani pia, kwanini usihamie huko kuliko kung'ang'ania huko Chadema ambako hawakutaki?Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
tani huu utetezi hautokusaidia ndugu, we bado sku zako kazaa urudi rasmi kwa waliokutuma, umemkosea heshima dk slaa sasa urudi kwa waliokutuma magamba kama we wenyewe watakuruhusu ukamkosee heshima mwenyekiti wao na katibu wao. Eti chadema tupo wachache sasa kujiunga kwako mwaka 2000 ndo kunakufanya usiwe na adabu
Na hoja zao zishughulikiwe ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi kuzuiliwa kushiriki kukijenga chama
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
Wapinzani bado tuko wachache sana, sizani kama fukuzafukuza ni solution. mliojiunga CDM wakati wa uchaguzi mkuu2010 mtaona ni sawa kufukuza. Ili tuiangushe CCM inahitaji umoja, hata kama kuna mbaya ndani ya chama anatakiwa abadilishwe tu kifikra. mbona sisi walimu tunapokea wanafunzi waajabu sana lakini wanakuwa shaped. Kama ndio hivi hatuwezi fika na tukifika si kwa mafanikio.
Punguza munkari mkuu dah!tani huu utetezi hautokusaidia ndugu, we bado sku zako kazaa urudi rasmi kwa waliokutuma, umemkosea heshima dk slaa sasa urudi kwa waliokutuma magamba kama we wenyewe watakuruhusu ukamkosee heshima mwenyekiti wao na katibu wao. Eti chadema tupo wachache sasa kujiunga kwako mwaka 2000 ndo kunakufanya usiwe na adabu