CHADEMA Mbeya muangalieni kwa jicho la 3 RPC Ulrich Matei

100% Right.
angalia Jinsi issue ya ccm kushindwa udiwani ilivyochukuliwa mpaka mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa akasema wataandika barua kuomba radhi. Hapa kuna siasa za ajabu zinapangwa ndani ya Polisi. Ndio sababu hata RPC anaandamwa na kambi ya mkuu wa nyumba
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
 
Wewe hicho kitengo cha character assassination kimekushinda
Umemshindwa Karujumuli sasa umeruka kwa Matei,naomba ukutane na Gilles Moroto alibinue binue sura lako litazame kamera kinguvu huku anakusimanga
Kagurumujuli niliweka njama zake zote kabla ya uchaguzi na kila nilichoweka kilithibitishwa ikiwemo mauaji ya Akwilina , wapi nilipomshindwa ?
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo
Mbona hueleweki , unaongelea sabasaba au unaongelea RPC wa Mbeya ?
 
Wewe hicho kitengo cha character assassination kimekushinda
Umemshindwa Karujumuli sasa umeruka kwa Matei,naomba ukutane na Gilles Moroto alibinue binue sura lako litazame kamera kinguvu huku anakusimanga
Moroto alinikimbia Temeke Kata ya 14 , nenda umuulize
 
kwa kweli mtu mpaka unakosa cha kuchangia, halafu unakuta huyu ni Babu kabisa mwenye wajukuu, na familia inamtegemea.
 
jikite kwenye hoja , tutaendelea kuwaanika ili wananchi wawatambue , bado wewe
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo
Naona unajifunza kuimba ngonjera.
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
Dah jama wewe ni liongo natamani ungekuwa karibu ningekutwanga makofi. Diwani wa hicho chama chenu kilichokufa na kubaki mifupa aliuawa na visasi. Yeye alishirikiana na wenzake kutekeleza mauaji ya kijana mmoja (wa familia ambayo walikuwa wanagombania mashamba). Yaani yule kijana alitokea familia ambayo kuna watu walipewa kama hisani kwa muda wawe wanalima lima shamba fulani, then mzee wa watu baadaye akaona awaambie sasa wasilime kwa sababu ana matumizi nalo, wale watu wakagoma, wakaenda mahakamani, kesi yule mzee akashinda, kwa sababu kijana alikuwa anamuelekeza mambo ya sheria, yule diwani akajitamkia kabisa eti yule kijana ataona, basi siku moja kijana yupo huko katoka zake dar alikatwa katwa mapanga akawa ameuawa, na kwa sababu diwani huyo gaidi wa kikundi cha magaidi akina mbow alikuwa ametoa kauli kabla, ni yeye akahusishwa na jamii, na ndipo na yeye akacharangwa mapanga mpaka kufa, na ndivyo ilivyo, na ndiyo maana RPC Morogoro alitoa kauli hiyo, na ndiyo ukweli. Sasa ninyi wenye akili za vichaa mnadaka kila kitu na kuamini ni kweli, yaani mnakera kwelikweli
 
Hivi Chadema ndio waliomuua Akwilina ? unataka tuamini na hili ? tangu lini RPC akawa mahakama ?
 
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba Diwani wa Chadema aliuawa kwa sababu ya visasi , mpaka leo bado hajathibitisha uongo wake.

Huyu ndiye amesimamia mateso ya viongozi na wabunge wa Chadema Mkoani Morogoro akiwemo Mbunge wa Kilombero Mh Peter Lijuakali , ni askari asiyeaminika linapokuja suala la kulinda ccm , aangaliwe kwa jicho la Tai .

Nakala iwafikie wafuatao :
Mh Msigwa
Mh Sugu
Mh Masonga
Mh Mwambigija
Mh Kasyupa Alipipi
Mh Mwanyamaki
Cc:Nakala ikufikie wewe pia,..
 
Sasa nakala hiyo ikiwafikia ndio watafanyaje? Wapige mikelele tu bungeni..

Hayo yote umeandika ni kwamba mmekosa hoja sasa mnatafuta ya kuongelea kupitia Rais wenu mpendwa eeeeeh

Umeandika kituko cha mwaka.. unamtuhumu kwanini haujamshitaki

Eeeewh kweli mpo ndani ya futi 6 na mnaanza kupoteza pumzi.. ona mlivyo eeeeeh kitukooooooo

Si muwaambie viongozi wenu wasepe mchukue vyeo nyie.. ona hata ushauri wa sabasaba haukuwa nao bali kulalamikaaaa huku hujui na haukuuliza lolote.. pia na mengineyo
rubish rubish, rubish, rubish
 
Bwana wako siku hizi nasikia kakutimua hataki hata kukusikia
 
Unataka mhalifu apewe jina zuri halafu achekewe?
Ukitaka uishi bila misukosuko ya polisi tenda mema tu...otherwise lazima upate tabu na kipigo cha Mbwa wa jalalani.
Tunahitaji majizi ya escrow yapelekwe segerea
 
Back
Top Bottom